General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ukijiuwa tunakuzika tu, usichanganye watu akili wakati sukari yenyewe inatusumbuaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam nami pia nampata sanaMkuu Mimi nakujua Sana. Ni mwenyekiti wa vijana wilaya ya Siha. Ulipigana kisete kuhakikisha Mh Dr G. Mollel analichukua jimbo mikononi mwa Ndg Aggrey Mwanry.
Najua ndoto zako ni kuwa kiongozi mkubwa,je umeshindwa kutimiza ndoto zako ukiwa CHADEMA Hivyo Una nia ya kubadili chama na kuhamia CCM? Najaribu kuunganisha akili ikanifikisha huko. Hebu tuambie maana yako.
Huyu anahama na kuhamia CCM. Nakuambia,hakuna maamuzi mengine.Naam nami pia nampata sana
Imma...[emoji47]Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,
Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia malengo yako,Usibadili malengo hayo rekebisha mbinu unazotumia kuyafikia'
By ImmaSaro
![]()
It's too bad also to hear that bt let's wait and see[emoji57] [emoji57]Imma...[emoji47]
You are too young to do those kinds of kidding [emoji34]
Hahahaaaa.. Ushauri mzuri[emoji3] [emoji3]kama wewe ni mmoja wa wale vilaza na kushauri punguza jazba suluhu itapatikana mtatafutiwa mahala pengine usikate tamaa kilaza
We better do something to stop this young generation's from negatives though..[emoji25]It's too bad also to hear that bt let's wait and see[emoji57] [emoji57]
Yeah that can make sense, bt he tend to be silence for a while, how ever we need him here to inform us something indeed& briefly.We better do something to stop this young generation's from negatives though..[emoji25]
Ndo amegundua leo kuwa chama kimeuzwaMkuu Mimi nakujua Sana. Ni mwenyekiti wa vijana wilaya ya Siha. Ulipigana kisete kuhakikisha Mh Dr G. Mollel analichukua jimbo mikononi mwa Ndg Aggrey Mwanry.
Najua ndoto zako ni kuwa kiongozi mkubwa,je umeshindwa kutimiza ndoto zako ukiwa CHADEMA Hivyo Una nia ya kubadili chama na kuhamia CCM? Najaribu kuunganisha akili ikanifikisha huko. Hebu tuambie maana yako.
Let me try to call Imma......Yeah that can make sense, bt he tend to be silence for a while, how ever we need him here to inform us something indeed& briefly.
Teh teh tehUkijiuwa tunakuzika tu, usichanganye watu akili wakati sukari yenyewe inatusumbuaa
hahaha,ila idawa we mkorofi sana..eti ufo saro.Wewe Imma si una unasaba Na Ufosaro Yule mtangazaji wa ITV.?
Mungu akuongoze kwenye maamuzi yako magumu.