Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Me more kakake [emoji5]Hivi nshakwambia mekumisi dadaake???
Basi ndo hivo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me more kakake [emoji5]Hivi nshakwambia mekumisi dadaake???
Basi ndo hivo sasa
Asante kwa kunifumbua mkuu,ngoja tumsubiri.Nifah huyu ndiye mwenyekiti wa bavicha siha na alikuwa team ushindi kwenye kampeni zilizo muweka madarakani dk molle
Kuna jamaa anauza range 400m. Ngoja nikaibe kwa ajili yako. #whatwouldbrotherdo#Me more kakake [emoji5]
[emoji39] [emoji39] [emoji5]Kuna jamaa anauza range 400m. Ngoja nikaibe kwa ajili yako. #whatwouldbrotherdo#
tumshauri tusimbezeHuyo jamaa ni Mhehe nini?
Naona anataka kwenda kusalimia kwa Nguvu huko kwa Mola...!!
Naona anataka kuhama chama. Namtakia kila la kheri. Maisha ni kokote.Ni mwenyekiti wa bavicha Siha mkuu wala hana mtambuka na Udom
huyu hataki kujiua wala nini. Msi panic.Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,
Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia malengo yako,Usibadili malengo hayo rekebisha mbinu unazotumia kuyafikia'
By ImmaSaro
![]()
Kweli.Mleta Uzi atakuwa mzaliwa WA fb