Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,

sijala pilau la msiban kitambo daah unakaa wap nije kesho maana unaonekana mkristo wewe so full masotojo uko ,,,,! ungekuwa islamic nisingeangaika maana wanapikaga uji misiba yao
 
Nnachoshangaa ni kwanini mkienda kununua sumu au kamba kwa ajili ya kujinyonga mnasubiri Chenji wakati mnakufa hata hvyo!!...
Kuhamia Ccm si maamuzi magumu.Kuna ulaji kule.
 
Ni mwenyekiti wa bavicha Siha mkuu wala hana mtambuka na Udom
Naona anataka kuhama chama. Namtakia kila la kheri. Maisha ni kokote.
huyu hataki kujiua wala nini. Msi panic.
 
Mkuu hujafanya maamuzi magumu tu!!! Fanya fasta wiki ndo imeanza!!! Biashara ni asubuhi jioni ma hesabu!!!!
 
Ni suala la mda tu! Ukweli utajulikana
 
shida hajasema maamuzi gani na kafanya nini kakwama wapi. hizo ndio ndoto za nebukaneza. aliyeota ndoto na mwenyewe ahijui bado anataka mtu amwambie kaota nini na ina maana gani. sasa a kina Daniel msaidieni huyu
 
Ndugu kama uko upande MTU aliyeaitwa mlevi Dodoma Na mbunge wako Na yeye kudai kadhalilishwa wakati ni tabia Yake Na ni Kiongozi mkubwa anayeiwakilisha serikali jimboni kwako kila la heri vijana Wa kuziba nafasi yako wapo wengi Na tunashukuru kwa mchango wako ila ukweli lazima usemwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…