Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Not now they're still young cause no experience remember this is TanzaniaChukueni Fernandez
Chukueni Abdulrazak Hamza
Chukueni Camara
Chukueni Kagoma aliyewatoroka
Chukueni Mukwala
Chukueni Awesu
Chukueni Okajepha
Chukueni Ateba
Kazi mnayo sasa hivi
ChamaHivi unajua historia ya chama aliletwa na timu gani Tanzania makolo wakawapora
Ila Sasa hv Hersi anawapitisha kushoto wakati yy anaenda kuliaHivi unajua historia ya chama aliletwa na timu gani Tanzania makolo wakawapora
Sasa naanza kuamini ule msemo wa wahenga. Masikini akipata matter core hulia mbwatterKazi mnayo sasa hivi
Kwa Baleke na Chama mlisema hivyo hivyo kabla hamjawavutia waya.Hakuna mchezaji hapo
Kama Chama.Hakuna mchezaji hapo
Kwamba Tabora Utd walivuta bangi ya Gongoni au Bachu?Mshukuruni Kalia na Kidau kwa kuwapangia timu ambazo usajiri wao ulikuwa bado kuzungumkuti. kawaulize Namungo Leo wamekutana na Tabora akiwa na wachezaji wake wote
Atakukatalia na kusema hakuna mchezaji wa Simba atapata namba Yanga.Naskia Hersi Saidi Kesha anza mazungumzo na wakala wa Mukwala.
Kagere,mugaluChama
Miquisson
Larry bwalya
Wote hao ni yanga ndio walianza kuwafuatilia
Kumbukumbu zao zinaanzia pale mchezaji anapoondoka.Hivi unajua historia ya chama aliletwa na timu gani Tanzania makolo wakawapora
Wewe nani amekupa bando? Au bado zinatolewa kwa siri na kina Bantu Lady ?Mshukuruni Kalia na Kidau kwa kuwapangia timu ambazo usajiri wao ulikuwa bado kuzungumkuti. kawaulize Namungo Leo wamekutana na Tabora akiwa na wachezaji wake wote