Ndugu zangu Yanga sisi tunawaletea tu wachezaji wa maana ili muwasajili

Ndugu zangu Yanga sisi tunawaletea tu wachezaji wa maana ili muwasajili

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daa mkuu ujue mara ya mwisho kutumia vocha hata sikumbuki ni lini
Wewe kama mimi Kiongozi. Nimesahau hata namna ya kukwangua na kuingiza kwa simu. Dah Maisha yanaenda kasi sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daa mkuu ujue mara ya mwisho kutumia vocha hata sikumbuki ni lini
πŸ˜€hutumii vocha?

Ila hapo umeandika vizuri.

Post niliyoi quote imenishangaza nikadhani huwezi kuandika vyema.
 
Mshukuruni Kalia na Kidau kwa kuwapangia timu ambazo usajiri wao ulikuwa bado kuzungumkuti. kawaulize Namungo Leo wamekutana na Tabora akiwa na wachezaji wake wote
Kwahiyo Simba ni yakujifunza kwa namungo
 
Chukueni Fernandez
Chukueni Abdulrazak Hamza
Chukueni Camara
Chukueni Kagoma aliyewatoroka
Chukueni Mukwala
Chukueni Awesu
Chukueni Okajepha
Chukueni Ateba

Kazi mnayo sasa hivi
Wanatuhusu nini sisi kama wananchi?
 
Huyo Hamza hamna beki pale... Hizi mechi mbili alizocheza na timu za daraja la chini ndio zinawadanganya?. Beki mzigo kama anabeba magunia ya kabeji?.
 
hao wachezaji utopolo...
Soka la Simba la Sasa hivi halimuhitaji mtu Kama chama namaanisha clatous. Ni swala la muda tu Simba itakuwa hatari sana afrika.

Simba ya robo fainali Mara tano haviwezi kujitafuta sawasawa na timu ambayo haikuwahi kufanya hovyo, tatizo mnawaamini sana wachambuzi wa wasafi fm, hakili zenu Pekee hazitoshi.
 
Kipimo sahihi Cha simba Ni mechi za kimataifa, tuanze na Tripoli kwanza hasa mechi ya ugenini.
 
Tutachu
Chukueni Fernandez
Chukueni Abdulrazak Hamza
Chukueni Camara
Chukueni Kagoma aliyewatoroka
Chukueni Mukwala
Chukueni Awesu
Chukueni Okajepha
Chukueni Ateba

Kazi mnayo sasa hivi
Tuta mfuata Debora awe Sabu ya Aucho ao wengine waendelee kubaki apo Academy mpaka waive tutakuja kuwa beba.
 
Chukueni Fernandez
Chukueni Abdulrazak Hamza
Chukueni Camara
Chukueni Kagoma aliyewatoroka
Chukueni Mukwala
Chukueni Awesu
Chukueni Okajepha
Chukueni Ateba

Kazi mnayo sasa hivi
Hakuna wachezaji hapo, muda ni rafiki mzuri. Endeleeni kucheka cheka na hizo goli. Simba imekutana na timu dhaifu, na hao Singida fountain watashuka daraja. Timu zinakabia macho.
 
Back
Top Bottom