Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

Na kitu kibaya zaidi na wenyewe wanaishi humu humu
 
Wahenga walisema wafa maji hawaishi kutapa tapa, Chama cha mbowe wajitafakari sana, na watusaidie watanzania jambo moja tu, kama hawaipendi Tanzania watafute nchi zao na waende huko wakazipende.
 
ushauri mzuri,lakni sidhani kama wataufanyia kazi😗🤔
 
Wana CDM wote ni wakazi wa Hai au una chuki na Mbowe?
Tupeane muda tu tutakuwa na lugha 1.Saruji ni mwendo mdundo kwa wote. Bado mengi yanakuja!
 
Watanzania wa wapi wameridhika na ccm? Watanzania gani unawasemea? Kwa uchaguzi upi na wapi? Maana Tanzania hakukuwa na uchaguzi zaidi ya maigizo tu
 
Wahenga walisema wafa maji hawaishi kutapa tapa, Chama cha mbowe wajitafakari sana, na watusaidie watanzania jambo moja tu, kama hawaipendi Tanzania watafute nchi zao na waende huko wakazipende.
Tatizo hata wakitaka kuondoka mnawabania! Wakifanikiwa kutoka mnawaomba warudi eti mtawalinda! Akili za Ziro hatari.
 
Wana CDM wote ni wakazi wa Hai au una chuki na Mbowe?
Tupeane muda tu tutakuwa na lugha 1.Saruji ni mwendo mdundo kwa wote. Bado mengi yanakuja!
Laana kwa ccm ipo nyingi sana itakuja mpaka itajaa tu ndipo ccm watajutia uonevu wao kwa wapinzani
 
ccm imejichonganisha yenyewe kwa kuwapora ushindi wapinzani kihuni huni, sasa mabeberu yamegoma kuleta pesa ccm wameanza kuchachawa
Serikali ya Ccm ilishaweka wazi haitaki misaada ya yenye mashariti ya kibeberu. Kwa hiyo haina shida na misaada ya kishogashoga.Mabeberu wawasaidie Chadema waliokosa ruzuku,pia wanasapoti ushoga.
 
Yeye alitaka aje kuwekeza na aondoke na faida 100%? Hii ni hatari, aende akawekeze kwao. Yaani waTz tusipate hata kiduchu!
Huo ni uzushi ni maneno ya mkosaji, ccm wakijua wamekosea wamefanya uzembe ama usumbufu kwa wawekezaji kisha wakakimbia kwenda kuwekeza sehemu zingine, huwaundia zengwe huwatengenezea uzushi uongo wa kila aina ili mradi ccm ionekane ipo sawasawa, lakini sasa kila mmoja anajua Serikali huwasumbua wawekezaji sana na ni mojawapo ya Serikali sumbufu kwa wawekezaji kuliko Serikali zote Ulimwenguni
 
Kwani Dangote anasumbuliwa? Anaondoka? Acha upuuzi wako.
 
Nzi wa kijani wanateseka wawezezaji wanazidi kusepa kutwa mnawaita mabeberu nyie si dona katri wekezeni wenyew Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…