Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

Serikali ya Ccm ilishaweka wazi haitaki misaada ya yenye mashariti ya kibeberu. Kwa hiyo haina shida na misaada ya kishogashoga.Mabeberu wawasaidie Chadema waliokosa ruzuku,pia wanasapoti ushoga.
ccm wana njaa sana hata sherehe za uhuru wamezifuta kisa njaa kubwa ushoga upo huko kwenu na mabeberu yameacha kuleta pesa ndipo njaa imezidi, acha kujimwambafy kizushi, ccm wanahitaji misaada kuliko ulivyokariri wewe
 
Hata baba asipowatendea watoto haki ndani ya nyumba, watoto watakwenda kwa mjomba au shangazi kueleza namna baba anavyowatendea ili wapate suluhu
 
Kwani Dangote anasumbuliwa? Anaondoka? Acha upuuzi wako.
Wewe ndiyo mpuuzi hujui kuwa Dangote aliandamwa na wingi wa kodi na usumbufu mwingi fitna za viwanda vingine vyenu vya cement, inaelekea wewe hujui kitu
 
Kwani ndugu yangu walioshindwa uchaguzi ni CHADEMA pekee? Mbona vipo vyama kadhaa.

Ambao hatujawa na chaguo la chama chochote mnatuvunja moyo.
 
Haramu iliyogeuzwa halali imeharamishwa tena

Waliozowea kula haramu iliyohalalishwa ndio wanaipaka matope Tanzania
Nyie ni dona kantree mna wasiwasi gani hata mkitangazwa vibaya kwa mabeberu wakati hamtegemei misaada kutoka kwao na mnajitosheleza kwa pesa zenu za ndani na utalii wa ndani[emoji41], si unaona hata Ngurdoto hotel kwa sasa imeingia kwenye utalii wa ndani yaani imekua hostel ya wanafunzi
 
Mtu mwenye akili unaweza kupost huu upuuzi?
 
Kwani ndugu yangu walioshindwa uchaguzi ni CHADEMA pekee? Mbona vipo vyama kadhaa.

Ambao hatujawa na chaguo la chama chochote mnatuvunja moyo.
Wengine wamekubali kushindwa. Na halichafui kwa uongo taifa lao
 
Wengine wamekubali kushindwa. Na halichafui kwa uongo taifa lao
Taifa lipi linachafuliwa? Kwani mabalozi wa Nchi zote si wapo Tanzania wameona ccm walichowafanyia wapiga, ccm inafanya mambo ya hovyo yenyewe alafu haitaki jumuia za kimataifa kuiadhibu kwa visingizio vya kihuni kuwa Taifa linachafuliwa, anayechafua Taifa ni ccm mwenyewe siyo vinginevyo
 
Jamaa walivyo na akili fupi kama pua ya mwenyekiti wao wana mawazo na tabia za kichawi.Vioja wafanye wao wakisemwa wanadai wanaonewa/wanasingiziwa.Si uchawi huo????? Kuroga wao na kulia zaidi wao!
 
Sijaona balozi anayelalamika hata mmoja.
 
Kama umeridhika na CCM ni wewe usitusemee sisi wengine. Kama wameshindwa kufata Katiba waliyoiweka wenyewe ulitegemea wapinzani nao waimbe nyimbo za kumsifu na kumuabudu jiwe hata kama haki haitendeki.
Umeona eennhhh??
 
Habari ya ngurdoto alaumiwe mmiliki marehemu mrema
Hayo mengine furahieni ila mabaya mnayotamani yatokee mkumbuke tuu njaa hayachagui itikadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…