Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

nani kakudanganya Mungu hana hisia za hasira wala ajioni duni?
Ebu soma kisa cha Nuhu, soma kisa cha Mungu kupunguza umri wa binadamu kuishi, soma kisa cha sodoma na gomora, soma kisa cha mtoto wa nebukadrineza kutumia vyombo vya hekaru, soma kisa cha Musa alipokuwa anamuomba farau kuwaruhusu waisraeli kuondoka misiri, nk hivyo vyote vinaonesha jinsi gan Mungu alivyo na hasira na anavyopenda kujiinua.
Huko kumuona yupo kimta wenda ni agano alilojiwekea baada ya garika ya Nuhu.


Ila ukatili haufai tubadirike
 
Me nataka kujua kama kuna connection na sato
 

Mungu sio mwepesi WA hasira, ndio nilichomaanisha
 

Kuwa Mzungu au mmarekani haimaanishi huwezi kuwa kichaa
 
Ndugu zangu ukiolewa na mtu wa musoma kuwa naye makini,watu hao hawapendi dharau kabisa anaweza kukuua kwa kukuchinja na panga na sio bastola,kwa bastola hiyo amekuhurumia mara nyingi ni panga tena anachinja kwanzia nyuma ya shingo ili usikie maumivu….Kuweni makini na hao watu wa Musoma ni hatari ila wanaupendo sana hata wanawake muangalie jaydee
 
Kuwa Mzungu au mmarekani haimaanishi huwezi kuwa kichaa
Sijasema kichaa. Nimesema makatili. Uvichaa wao huko huko.

Wazungu ni makatili hawakubali kwamba urafiki wao karibu na wafu inawapa furaha.
 
Na huku Ni kandq ya ziwa 👇👇👇👇👇
 
Watoto wanakuwa wakiwa wameshaathirika kisaikolojia kutokana na ukatili wanaoushuhudia wakikua. Hivyo wanajua njia pekee ya kutatua matatizo yao ni njia za kikatili katili tu. Ni athari ilojengeka kwa muda mrefu, itachukua muda mrefu pia na nguvu nyingi kulimaliza hilo.
 
Leo ijumaa Hesabu siku mpaka jumatatu utasikia tukio jingine hukohuko, ni Kama KENYA vile wanavisa vya ajabu ajabu
Kweli, na hivi Malikia wa Ulaya akifanyiwa hafla huko uingereza utasikia bado kuna visa vya ukatili.
Kwa wazungu wale wa Kaskazini ndio kabisa,wanaweza mpa presha Raisi wao, amesema cnn "enough" alisikika.

Kenya mpaka kwenye uchaguzi tu.
 
Jibu ni rahisi tu.Majority hawakwenda shule na ndio maana ushirikina kwao wanaona ndio dini ya pili.Sababu ingine ni washamba sana.
 
Ndio maana huwa nakubaliana na wanaosema watu wa pwani(licha ya mapungufu yao), wamestaarabika sana.

Huwezi kusikia matukio kama hayo hapo juu, yakifanywa kwa kiwango cha juu na watu wa mikoa ya pwani mwa tz.

Na hata kama ikitokea, basi muhusika atakuwa ni mshamba mmoja toka bara.
 
Kwa mkeka wako huu nimetamani kujua watu wako wa karibu yako ili nikufahamu vyema, tabia hizi zipo pote2 duniani, but mkeo kucheza kigoma uchi then ukachukulia poa tabia hiyo ni sawa na kuwa wewe mume una chembe chembe za ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…