Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

Kwema Wakuu!

Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya kikatili huko kanda ya ziwa.

Kwa sasa Dar es salaam
Tatizo linaanzia kwenye ulaji wa nyama kwa wingi. Makabila yanayokula nyama wana asili ya ukali sana
 
Ndio maana huwa nakubaliana na wanaosema watu wa pwani(licha ya mapungufu yao), wamestaarabika sana.

Huwezi kusikia matukio kama hayo hapo juu, yakifanywa kwa kiwango cha juu na watu wa mikoa ya pwani mwa tz.

Na hata kama ikitokea, basi muhusika atakuwa ni mshamba mmoja toka bara.
ndo mlivyo yaani kuuza nyaa'' ndo kustaarabika kwa Nchi za Magahribi! Mmeiga waarabu waliwaharibu sana,, kure Mara kanda ya ziwa walikuwa wanachapwa viboko na ke!...

mpaka leo hakuna cha uislamu wala ushoga!
 
Jibu ni rahisi tu.Majority hawakwenda shule na ndio maana ushirikina kwao wanaona ndio dini ya pili.Sababu ingine ni washamba sana.
Wewe koma kabisaaa!! wario waretea uhuru, KAR ni kina nani???? nyie hapo bongo mlishindwa wana Mara wakaja kwa fujo!!...wamekomboa Bara zima la africa,

Dunia nzima viongozi wakija Bongo/Africa wanaenda Mwitongo kuhiji kwa Baba wa Taifa/Africa......Musoma Air port inakuwa Busy ever! wewe usirudi humu tena!!1
 
Watu wa Kanda ya ziwa Mara,Mwanza, Kagera nk! siyo wakatili ivo, km mleta Mada alivo andika hapo juu!! Ukatili huu uko Duniani kooote!! ila Mauaji ya kanda ya Ziwa yanajulikana sana Duniani!

Sababu kubwa ni Ubora na umaarufu wa kanda hii ya ziwa! ......Mwandishi yeyote akiandika habari kuhusu walikotoka Wanajeshi machachari waliokuwa mstari wa mbele kukomboa Bara la Africa ....

na kuiweka Tanzania kwenye Ramani baada ya kumshinda mwanajeshi nguri aliye fundishwa ujeda na wakoloni yaani Nduri idd amin!, hii tu inawavutia watu wengi Duniani....kma haitoshi pia

viongozi Maarufu na machachari, walio unganisha Bara zima la Africa, kuanzia Zanzibar,EAC, wenye akili mingi, walioshindwa kupinduliwa Kirahisi Duniani, na Tanzania hii, na Africa kwa ujumla wake

km Nyerere, Msekwa, Hashim Mbita, Jiwe, Getrude Mongera nk! wanatoka huko! hii tu inatosha kuvuta usikivu wa Tamaduni, aina ya watu wenye asili ya kanda hii!!.....mwandishi yeyote anae andika haya

Lazima huyu wa kanda ya ziwa atauza sana habari hiyo! kuliko mwandishi anaye uza habari za Mikoa mizembe ya watu wa Lindi/Mtwarank! kwanza hazijulikani Duniani!......

Fikiria tu! mtu anatamani vita ya kulikomboa Bara la Africa! kwa moyo wote kabisa bila kusita!.......chachu ya Nchi zilizo Mstari wa Mbele ni watu wa Kanda hii! na walifanya kweli bila kusita sita

pia kwa sababu Ya ubora huo umevutia watu wengi/waandishi wa Habari wengi kukaa kanda hiyo!.. ili wauze habari kutoka kanda hii!

Popote humu Duniani penye Uchumi Bora wenye nguvu, akili mingi, watu shupavu penye mwelekeo wa mafanikio ya kasi. ndipo habari zake hujulikana sana, na pana ongoza kwa matendo ya kikatili Duniani!

Mfano USA, Israel, Uk, France Ujermani hawa mpaka waligawanywa pande mbili ajili ya ujeuri wao, S/A nk sasa Geece imewahi tawala Dunia kwani leo hii unaiskia???

Mtu Wa kanda ya ziwa popote alipo anamulikwa sana ajili ya Tabia zao za ukakamavu, kutopenda dharau na kupenda jeshi mnoo kuliko ugali, sehemu pekee Afirca ambapo Hakuna mtumwa aliye uzwa tokea hapa!

Zamani zile Misafara ya watumwa ilishambuliwa na wanawake tu na kuwakomboa watumwa wooote!! walipigwa km watoto!! wazungu wanalijua hilo! wamejaza vitabu kuhusu kanda hii kwenye Library zao!

ndo maana walipoanzisha KAR walichukua kanda hii sana, na pia mkoloni alitawala kanda hii kwa tahadhari kubwa mnoo!!.....hata alipo ibuka Nyerere Mkoloni hakuwa na upinzani kiviile km makabila mengine!!

sababu alijua Muziki wake km angeleta upinzani kwa Nyerere yule mwana kanda halisi, hata wale wazungu walio muunga mkono Kambona, walimpa tahadhari kubwa mnoo!

ivo ni sawa kanda ya ziwa kuiwazia ivo! ajili ya Ubora wake kwa rasili Mali, vivutio, akili mingi, na tabia zao za kuto taka ujinga kwa gharama yeyote ile tangu zama! na wake zao wa asili wana nidhamu isiyo ya kawaida!

wanawake wanao uawa kule siyo wa asili ya kule! bali ni wa kuja km vile Wachagga, wamakonde ,Wazaramo nk, sababu wao kwa asili yao kusaliti penzi ni kawaida yao! Mkanda ya ziwa hilo ni marufuku!

Lkn pia Utamu wa tabia/mwili/muonekano/uvumilivu/kujali/akili mingi za wanawake wa Kanda ya ziwa, umewafanya watu wengi sana Duniani wawapende,

pia watu wa aina mbalimabali kung'ang'ania kuishi kanda hii,, Mfano utamu wa wahaya wanaongoza kwa kuuza Nyapu EA,.....LKN akiolewa hauzi! Uongo mleta MADA???

jARIBU KUONJA MSIMBE SIKU MOJA UONE BARAKA NA UTAMU WAKE!...SI UJARIB TU ULETE MREJESHO BANA KM SIYO DOMO ZEGE......onyo ukienda kizembe kwa ke wa kanda hii lazima atakupiga makonde hutaamini!!!...............
Mimi kwetu ni MARA. Ila kwasasa Niko Kilimanjaro kikazi.

Kiukweli hakuna sehemu ya UKATILI wa KUTISHA kama Kilimanjaro lakini huwezi kusikia TAARIFA zake Mara kwa Mara kwasababu MATUKIO mengi ya UKATILI yakijulikana huku huwa yanaishia kwenye MISAMAHA ya ISALE na POMBE za UKOO na NDAFU/Nyama.



In short, Mara matukio huwa yanawika sana na matukio kama hao sehemu nyingine huchukuliwa kawaida tu.
 
Mimi kwetu ni MARA. Ila kwasasa Niko Kilimanjaro kikazi.

Kiukweli hakuna sehemu ya UKATILI wa KUTISHA kama Kilimanjaro lakini huwezi kusikia TAARIFA zake Mara kwa Mara kwasababu MATUKIO mengi ya UKATILI yakijulikana huku huwa yanaishia kwenye MISAMAHA ya ISALE na POMBE za UKOO na NDAFU/Nyama.



In short, Mara matukio huwa yanawika sana na matukio kama hao sehemu nyingine huchukuliwa kawaida tu.
Mara/kanda ya ziwa in general ni sababu ya Umaarufu wake! utajiri, maisha rahisi matamu/future nzuri! hali ya hewa ile ni nadra sana inavutia watu wengi kuishi huko km waandishi ili wauze habari!

Wajameni ile kanda miye sijaona angalia Senene ni Bukoba tu wanapatikana! angalia ndege km Mahututu, sorkobhwe, Kung'ai, Amobha ni Tarime tu kwa EA nzima yoote!

kiribo/kong'enyi jamani inapendeza sijawahi ona Duniani!....Ubhusara ni kinywaji muruaaa kabisaaa!! kichure mawee!! iritambwei...hkn Dunia nzima!! asa kwa nini wasipaonee wivu???

Wamakonde/ Waha/wahehenk! wana propaganda za wivu/kinafiki sana, ili sisi tusiwe Associated na viongozi maarufu wa kanda hii Baba wa Taifa, eti tunajidai na kujisikia ajili ya Baba waTaifa yaani wamenuna hao!

kwa kuwa wao wamakonde hawana umaarufu wowote wanatuchukia mnoo! wameachwa nyuma kimaendeleo na Mikoa yao ni maskini, mafuta wamepigwa za mbavu asa yako Msumbiji!

sasa wanatia figisu figisu ili wana kanda ya ziwa tuchukiwe na jamii za kimataifa, tufanane nao! wahamishiwe mikoa mingine, wakatie maendeleo huko ..... Kanda ya ziwa yote iwe Pori tengefu la utalii,

wameanza pole pole! kwa kuifanya kanda maalum! itaenda ivoooo!! yote ile itakuwa NP!.....Siku wakipata Rais wao tu utaona figisu zake!....unaona wametia chumviiii wakurya/sukuma/haya pipo wakapunguzwa ma-jeshini humo!
 
Tatizo ni malezi yao yanawataka wanaume wawe wababe kwa Kila jambo Yani hakuna kushindwa kwa Kila jambo .
Mm nimtu wahuko tena mara,kuna ukweli ktk haya yaliyoandikwa hapa,nimezaa namtu WA pwani huku nasasa naishi huku kusini,kiukweli mikoa ya Lindi namtwara huku licha ya madhaifu Yao ,lkn,kumestaarabika Sana hasa katika maswala yanayohusu maamuzi yaeither wizi au mahusiano,huku MTU akiiba hapigwi Hadi kufa Bali wataitana wazee wayasuluhusishe kwetu Kule anapigwa mawe au kuchomwa Moto,huku kusini mwanamke akikamatwa ugoni namwanaume mwingine hutozwa faini mwanaume aliyechukua mke WA MTU,napengine hupewa talaka nammewe au hapewi itategemea ,huku ninadra Sana kukuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 25-40akiwa nandoa moja Bali huenda akawa ashaachika nakuolewa zaidi ya mara mbili au tatu,huku kusini ndoa sio kifungo cha maisha Bali nnaweza kuachana kwamda (Halftime),,nabaadae mkarudiana tena kwakupeana talaka moja,au mbili,au tatu mazima.
 
Mm nimtu wahuko tena mara,kuna ukweli ktk haya yaliyoandikwa hapa,nimezaa namtu WA pwani huku nasasa naishi huku kusini,kiukweli mikoa ya Lindi namtwara huku licha ya madhaifu Yao ,lkn,kumestaarabika Sana hasa katika maswala yanayohusu maamuzi yaeither wizi au mahusiano,huku MTU akiiba hapigwi Hadi kufa Bali wataitana wazee wayasuluhusishe kwetu Kule anapigwa mawe au kuchomwa Moto,huku kusini mwanamke akikamatwa ugoni namwanaume mwingine hutozwa faini mwanaume aliyechukua mke WA MTU,napengine hupewa talaka nammewe au hapewi itategemea ,huku ninadra Sana kukuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 25-40akiwa nandoa moja Bali huenda akawa ashaachika nakuolewa zaidi ya mara mbili au tatu,huku kusini ndoa sio kifungo cha maisha Bali nnaweza kuachana kwamda (Halftime),,nabaadae mkarudiana tena kwakupeana talaka moja,au mbili,au tatu mazima.
Wewe siyo Mara original ni wakuchovya tu!!

1. ustaarabu gani wa kuoa mke na kuachwa ktk zama hizi za ukimwi ni ustaarabu jambo hilo??

2.Mwizi wa ng'ombe aishi?? wewe si wa Mara wewe!...nyau kabisa!


3.Ugoni/ watu woote, uzinzi hata Mungu hataki! yaani usuruhishe mgoni ?? pumbavu!! wewe si wa Mara! futa kabisaa!!


4.Mke aolewe mara mbili??? kure Mara huyo ni Msimbe!.....hakuna dharau mbaya km Nyumba ya msimbe!! .na watoto wake wataitwa watoto wa Msimbe tu!! ukienda chumbia watakwambia umeingia nyumba ya wasimbe!! wacheza mbegete virabuni kienyeji zaidi! kwa hiyo wewe na Lindi yako, unapenda wasimbe!! kureMara ili kulinda heshima bora uolewe na Bibi kizee maarufu km nyumba ntobhu!! ili uondokane na usimbe!


5.Ume ndoa tatu???! .......wewe unatania watu wa Mara! nachelea kusema weye ni Muhaya weye! watani wa jadi! Mara kuree mke uende urudi?? halllow! utachomwa moto na usio wajua hasa kaka zako mwenyewe damu damu maana tayari wanakuona weye ni mikosi ya ukoo! ...hata

Mama yako Mzazi atapigwa kiti Moto aliko pata mtoto wa ivo, hii ni kupitia tambiko la moto waupanga maalumu! ( Maarufu km Kwikoma rya Bhasi) pale bana ni unaulalia, upanga wa moto ukiwa uchi wa mnyama kwa marefu, km ni kweli ulichepuka tubu mapema, vinginevyo utaungua mazimaaa na kukatika vipande viwli sawa, kwirugwa kamwe hurudi salama ?
 
Hatupendi Dharau, Unafiki na Upumbavu.

Matatizo yenu ni haya

1. Mnaimani za kijinga za ushirikina na uchawi
2. Wengi mnajiona Duni hivyo mnapenda kujitutumua. Hii inazaa hoja ha tatu
3. Mnapenda ushindani usio na kichwa wala miguu.
4. Mnaubabe wa kijinga, yaani mnatumia nguvu nyingi hata Kwa mambo yasiyohitaji nguvu. Hii ni kutokana na upeo kuwa mdogo wa kufikiri. Sip ajabu ukasikia MTU anaua Make au mtoto kisa kaambiwa wewe sip mwanaume.

5. Hamna Diplomacy kwani mnatabia ya kutaka kile msemacho ndio kikubaliwe na wengine.
 
Matatizo yenu ni haya

1. Mnaimani za kijinga za ushirikina na uchawi
2. Wengi mnajiona Duni hivyo mnapenda kujitutumua. Hii inazaa hoja ha tatu
3. Mnapenda ushindani usio na kichwa wala miguu.
4. Mnaubabe wa kijinga, yaani mnatumia nguvu nyingi hata Kwa mambo yasiyohitaji nguvu. Hii ni kutokana na upeo kuwa mdogo wa kufikiri. Sip ajabu ukasikia MTU anaua Make au mtoto kisa kaambiwa wewe sip mwanaume.

5. Hamna Diplomacy kwani mnatabia ya kutaka kile msemacho ndio kikubaliwe na wengine.
Una akili ndogo sana.
 
ukiangalia ukatili imekithiri sehemu za migodi tu kwa wachimbaji mfano geita shy n.k Luna uhusiano wa ukatiri huo na ushirikina
 
Ingekuwa ni Kanda ya Ziwa hususani Mara, hili tukio linge-trend wiki nzima


=======


#HABARI KIJANA mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Kijiji cha Lessoroma, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Deogratius Shirima anadaiwa kumuua mama yake mzazi Doris Shirima (51) kwa kumkata shingo wakati akimzuia asibomoe nyumba.

Tukio hilo lilitokea Septemba Mosi, 2023 na kuzua taharuki kwa wakazi wa kijiji hicho cha Lessoroma na maeneo ya jirani. Kijana huyo ambaye anadaiwa kuwa ni mvutaji bangi, kwa mara kadhaa amekuwa akimsumbua mama yake ambaye ni mjane kwa kubomoa nyumba yake anayoishi na kumfanya mama yake huyo kurekebisha nyumba mara kwa mara.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Yahaya Mdogo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema limetokea Septemba Mosi mwaka huu na kwamba kijana huyo alimuua mama yake kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali sehemu za shingoni na kichwani na kusababisha kifo chake.

"Ni kweli tukio hili limetokea huko Kijiji cha Lessoroma wilayani Rombo Septemba Mosi saa tatu usiku, mwaka huu huko Kijiji cha Lessoroma ambapo mtoto mwenye umri wa miaka 26 alimuua mama yake mzazi kwa kumkatakata na kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni na kichwani na kusababisha kifo chake," amesema.

Aidha, Kamanda Mdogo amesema tayari Jeshi la Polisi linamshikilia mtuhumiwa huyo kwa kuhusika na mauaji ya mama yake.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
 
Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia asilimia nyingi za wachaga madish yameyumba pamoja na kwamba ni wasomi wazuri na wana mafanikio makubwa kimaendeleo.
Yeye ni mtu wa dini sana akaendelea kusema hii inachagizwa na pombe na tabia zao za kufanya matambiko.

Kwenye pombe nilimkatalia sababu makabila mengi wanakunywa pombe kwenye matambiko pia nilimkatalia sababu hizi dini tulizoletewa zimetufanya tudharau mila na dini zetu za zamani.Hata kina Ibrahim na Isaka walikuwa wanatoa sadaka kwa mungu kwa kumtoa kafara mnyama hiyo pia ni tambiko.Hata wakati wa Christimass au Iddi tunapochinja lile ni tambiko hapa nilimgomea kabisa.

Sasa tunasingizia bangi hapa napo hakuna ukweli sababu makabila mengi na hata watu wa dini flani wanatumia bangi lakini hawafanyi mambo ya uhalifu.

Mimi nadhani ushirikina unachangia sana anakwenda kwa mganga anaambiwa ili upate madini au biashara unatakiwa utoe kafara ya damu yako hili linawezekana.

Najua wachaga watakuja juu wasiwe na mapovu mimi nimefikisha ujumbe nilivyosikia na sababu zote hizo nilikuwa napinga.
 
Back
Top Bottom