Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

Kwa mkeka wako huu nimetamani kujua watu wako wa karibu yako ili nikufahamu vyema, tabia hizi zipo pote2 duniani, but mkeo kucheza kigoma uchi then ukachukulia poa tabia hiyo ni sawa na kuwa wewe mume una chembe chembe za ushoga.

Hapa nazungumzia tabia zilizopitiliza,
HAO wapwani kuacha Wake zao wacheze vigoma kwao ni Utamaduni ingawaje kama mwanamke hajiheshimu wanaachana tuu Kwa amani Kwa kupeana talaka, kuliko kuuana Kwa maamuzi ya mtu mzima aliyeamua kuyaendesha maisha yake vile atakavyo.

Ndio maana kuna Talaka,
 
Kwa mkeka wako huu nimetamani kujua watu wako wa karibu yako ili nikufahamu vyema, tabia hizi zipo pote2 duniani, but mkeo kucheza kigoma uchi then ukachukulia poa tabia hiyo ni sawa na kuwa wewe mume una chembe chembe za ushoga.

Watu wangu wa karibu ni kutoka Nyota ya Tibeli.
 
usiseme "watu wa musoma" kama unataka kuzungumzia watu wa mara sema "watu wenye asili ya wakurya na makabila yanayofanana na wakurya" ndio wana asili ya ukatili sana. Likin musoma kuna makabila wanawake ndio wanaongoza kwa kutawala miji yao mfano wakwaya, wajita hawa ni kama wazalamo tu hawanaga mambo za ukatili sana
 
Kuna aina fulani ya ujuaji na ushamba inatawala maeneo yale. Kwanza wanaamini sana katika utajiri wa kuroga. Pili wanaamini sana katika maisha ya ushirikina. Ndio maana kuua kwao sio tatizo kabisa
 
Robert,, unaitambua talaka kumbe!!
Kumbe dini ya uislam ipo sahihi?
 
Tatizo ni malezi yao yanawataka wanaume wawe wababe kwa Kila jambo Yani hakuna kushindwa kwa Kila jambo .
 
Mkuu wote ni hao hao,wanapenda Shari hao watu
 
Robert,, unaitambua talaka kumbe!!
Kumbe dini ya uislam ipo sahihi?

Dini ya uislam upO sahihi Kwa Maeneo mengi.
Torati inaruhusu Talaka, sasa Kama torati inaruhusu Talaka Nani akataze talaka wakati torati ni maneno ya Mungu mwenyewe ambayo hayabadiliki.
 
Kuna aina fulani ya ujuaji na ushamba inatawala maeneo yale. Kwanza wanaamini sana katika utajiri wa kuroga. Pili wanaamini sana katika maisha ya ushirikina. Ndio maana kuua kwao sio tatizo kabisa

Elimu ya Dunia na kidini iwabadilishe
 
Huko musoma sio wanawake sio wanaume wote tu ni wakatili na wanapenda sana shari watu wale…Halafu hawapendi dharau yaani akijua kwamba unamletea dharau utajuta sijui nini kinawasumbua
 
Mkuu wote ni hao hao,wanapenda Shari hao watu
wajita na wakwaya ubabe na ugomvi wapi na wapi? Hawa Labda uchirikina, ujuaji, ubishoo, umalaya, uchonganishi ndio wanaweza
 
Umaskini uliotopea,elimu duni,ushamba yaani lack of exposure,Mila za mfumo dume na kutamalaki kwa Imani za kishirikina..

Juu ya hayo wamezaana Sana .
 
Jibu ni rahisi tu.Majority hawakwenda shule na ndio maana ushirikina kwao wanaona ndio dini ya pili.Sababu ingine ni washamba sana.
Mauaji ya bastola na ushirikina vinausianaje? Alafu matukio ya wivu wa Kimapenzi vinahusiana vipi na ushirikina ama elimu za watu?

Acha kuchezea bando Mkuu ingia mtaani upunguze kero za jamii yako ukatili wa kanda ya ziwa waachie wenyewe as long as hawajakufanyia wewe ama familia yako

Mwisho punguza shobo
 
Kwa mkeka wako huu nimetamani kujua watu wako wa karibu yako ili nikufahamu vyema, tabia hizi zipo pote2 duniani, but mkeo kucheza kigoma uchi then ukachukulia poa tabia hiyo ni sawa na kuwa wewe mume una chembe chembe za ushoga.
Nawashangaa sanaa
 
Watu wa Iringa na ubakaji watoto.
Iringa kuna balaaa kubwa la UBAKAJI. kuna pepo ambalo limeshindikana.
viongozi wa dini ingilieni kati.
Mikoa inayo ongoza ligi ya UKIMWI ni;

1. Njombe
2. Iringa
3. Mbeya
4. Kagera

hiyo mikoa miaka nenda miaka rudi inaongoza Ligi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…