Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

Sababu ni Kutojiamini, hasa wakioa wake weupe, wanawachunga kama Ng'ombe

Pia wana imani za kishirikina sana, hawabadiliki.
 
Huku Kilimanjaro na Arusha Mabinti wengi wameonywa kabisa kuwa KAMWE wasiolewe na Wakurya.

At least akiwa amezaliwa na kukulia kwingine ila sio Tarime
 
Mbona Arusha na Kilimanjaro mauaji yanatokea kila wakati na husemi ? Tafadhali heshimu kanda kuu.
 
Kuna mtu anafanya kazi kule kanda maalumu hukohuko kanda ya ziwa, anasema wagonjwa wengi wanaopokea ni wale walikatwa na mapanga na sio magonjwa kama zilivyo hospitali nyingi.

Wao mtu kutembea na panga ni ufahali, full kupigana kwa mapanga kama kina jumong vile.

Nadhano ni matatizo ya akili ya kurithi.
 

Siku tatu nyingi kwao bila kurekodi matukio ya namna hii
 
We ni msomi, ??

Leta namba, kuthibitisha inaongoza zaidi utakuwa unapiga tantalila.


Sent using Jamii Forums mobile app

Ijumaa nimeeleza wazi Kabisa haiwezi fika jumatatu lazima ukatili ujitokeze huko kanda ya ziwa, Jana jumapili imetokea.

Tunaweza kuhesabu matukio wote kuanzia leo mpaka tarehe 15 uone ni kanda gani itaongoza.

Mimi mwenyewe Nina asili ya huko so usijeleta ushambenga wako hapa
 
Mtu mkatili mara nyingi huwa na magonjwa ya Akili, au madhara ya kisaikolojia wakati WA utoto.

Tabia ya kupigapiga au hasira zisizo na maana ni tatizo la kiakili,
Makuzi, mtu anakuwa anaona baba anampiga mama kila siku means akikuwa kwake kumpiga mkewe ni kitu cha kawaida. Watoto wanajifunza kwa matendo kuliko maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…