Ndugu zetu wakipata nafasi wanakuwa na hofu ya Mungu

Ndugu zetu wakipata nafasi wanakuwa na hofu ya Mungu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Sijawahi kufurahi kama ninapoona ndugu zangu upande wapili wakipata nafasi kadhaa.

Nimefanya kazi nafasi mbalimbali na ukweli wao wakifanikiwa kupata nafasi kwanza wana hofu ya Mungu.

Pili wana utu wa ubinadamu

Tatu.Wako radhi kuhakikisha waliojuu yake wanasaidiana kusaidia wananchi zaidi.

Sisi tukikamata kaposn n shida yaan balaa na ukute una kauphd kidogo balaa yaan aulekwezwi wala kusaidika.

Niombe mnaosoma jifunzeni kwa enzetu na maisha wanayoishi ktk jamii mtafanikiwa sanaa
 
Improvement kubwa sana, kutoka kuchanganya herufi ndogo na kubwa hadi hapa unaandika mambo ya kueleweka tatizo tu bado kidogo hapo kwenye kutumia herufi kubwa zote.

Kikubwa zaidi hongera kwa ujumbe mzuri.
 
Uko sahihi
Mkuu hilii.la.posn limetutesa sana tukikamata nafasi tunanza kuwa na viburi visivyo na msingi kabisa wenzetu wanapenda kuongozwa na hekima ya Mungu na nahisi zile dua za kila mara zinasaidia sana sio ssisi mpaka jpili yaan na ukiwa unasali jmosi usiku unaamkia asbh lodge jpili shida
 
Back
Top Bottom