Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Yeye anawaza ndumba tuAahaaaa,nilikuwa namdhihaki huyo mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anawaza ndumba tuAahaaaa,nilikuwa namdhihaki huyo mleta mada
Ingekuwa vizuri ukatutajia hiyo timu ili tuje na mifano kabisa, badala ya kuleta mafumbo hapa. Mimi wachezaji ninaowafahamu walioondoka Tanzania wakachemka huko walikoenda ni hawa wafuatao:Ni nadra sana ukifanya vizuri kwenye hii timu kisha ukaondoka bado wanakuhitaji ukatoboa unakokwenda.Ndio maana wana jeuri ya kukutunia muda wowote unapodai haki yako.
Upo uwezekano kuwa huenda kuna nguvu ya ndumba huwa nyuma ya uchezaji bora wa wachezaji wao na makocha wao.
Angalia makocha wao waliofanya vizuri wanapoenda timu nyingine.Wengine walipachikwa majina ya ubobevu eti tu kwa kudhaniwa wana uwezo mkubwa sana,lakini huko waliko sasa,huo ubobevu umeyeyuka.
Wengine walipata ufungaji bora Afrika lakini sasa huko waliko wanasikitisha.
Kwa nyie mliopo sasa kwenye hii timu,msianze kuzingua maana huo ndio utakuwa mwisho wenu.Hamuwezi kwenda popote hadi viwango vyenu vishuke.Ondoeni ndoto za kwenda ulaya
Watolewe Leo mji utulieYeye anawaza ndumba tu
Nadhani wanajielewa tu na utawaona hapa wanakuja wamepanicIngekuwa vizuri ukatutajia hiyo timu ili tuje na mifano kabisa, badala ya kuleta mafumbo hapa. Mimi wachezaji ninaowafahamu walioondoka Tanzania wakachemka huko walikoenda ni hawa wafuatao:
1. Makambo - Toka Yanga
2. Chama - Toka Simba
3. Miquison - Toka Simba
Haya tuendelee sasa kuwataja wengine walioathirika na ndumba za timu zao baada ya kuondoka.
Na utatulia kweli kweli, power dynamo nmeanza kuishabikia mda mno, naiombea ipate ushindiWatolewe Leo mji utulie
Unazungumzia Simba ambao walikuwa na hawa baadhi ya watuNi nadra sana ukifanya vizuri kwenye hii timu kisha ukaondoka bado wanakuhitaji ukatoboa unakokwenda.Ndio maana wana jeuri ya kukutunia muda wowote unapodai haki yako.
Upo uwezekano kuwa huenda kuna nguvu ya ndumba huwa nyuma ya uchezaji bora wa wachezaji wao na makocha wao.
Angalia makocha wao waliofanya vizuri wanapoenda timu nyingine.Wengine walipachikwa majina ya ubobevu eti tu kwa kudhaniwa wana uwezo mkubwa sana,lakini huko waliko sasa,huo ubobevu umeyeyuka.
Wengine walipata ufungaji bora Afrika lakini sasa huko waliko wanasikitisha.
Kwa nyie mliopo sasa kwenye hii timu,msianze kuzingua maana huo ndio utakuwa mwisho wenu.Hamuwezi kwenda popote hadi viwango vyenu vishuke.Ondoeni ndoto za kwenda ulaya
Miye nilikuwa sijazaliwa nilikuwa naishabikia toka tumboni mwa mama yanguNa utatulia kweli kweli, power dynamo nmeanza kuishabikia mda mno, naiombea ipate ushindi
Kivip mkuuMiye nilikuwa sijazaliwa
Nimerekebisha hapo juuKivip mkuu
Huyo kocha mbobevu hakupatia mafanikio yake Yanga tu, mkoba wake una kombe la shirikisho alilochukua akiwa na As Leopard ya Congo, timu aliyoikuta ikiwa haina mafanikio yoyote ya mashindano ya Afrika...Sisi ndio tunashangaa.Kocha anapewa sofa za ubobevu,je huu ubobevu unayeyukia wapi akihama timu?Kama si ndumba ni nini?
😂😂nmekuelewa mkuuNimerekebisha hapo juu
Usisahau Uchebe na Da RosaIngekuwa vizuri ukatutajia hiyo timu ili tuje na mifano kabisa, badala ya kuleta mafumbo hapa. Mimi wachezaji ninaowafahamu walioondoka Tanzania wakachemka huko walikoenda ni hawa wafuatao:
1. Makambo - Toka Yanga
2. Chama - Toka Simba
3. Miquison - Toka Simba
Haya tuendelee sasa kuwataja wengine walioathirika na ndumba za timu zao baada ya kuondoka.
Sasa hapo ndio ujue Simba ni timu nzuri yenye mifumo na mazingira mizuri ambayo wachezaji na makocha wanafanikiwa kirahisi, wakivimba kichwa na kujiona ni wakubwa kuliko timu inakula kwaoUnazungumzia Simba ambao walikuwa na hawa baadhi ya watu
Kocha Sven, kocha Gomez, kocha Ausems waliifanya Simba ifike robo fainali michuano ya CAF na walipotoa Simba tu hawakuvuma tena.
Chama na Miquison walipoondoka Simba walipoenda timu mpya wameshindwa kutamba huko
Ulisikia kuna profesa hapo?Unazungumzia Simba ambao walikuwa na hawa baadhi ya watu
Kocha Sven, kocha Gomez, kocha Ausems waliifanya Simba ifike robo fainali michuano ya CAF na walipotoa Simba tu hawakuvuma tena.
Chama na Miquison walipoondoka Simba walipoenda timu mpya wameshindwa kutamba huko
Ni kweli sisi wanalunyasi kwa ndumba ni hatariClatous Chama to Berkane, akafeli akarudi, Miquissone to Al Ahly akashindwa akarudi.. nadhan unawaongelea hao au..
Vipi kuhusu Msuva? maana nauhakika wakati Nonda atatoroka ulikua bado kwenye viuno vya wazazi wako.Ni yanga[emoji3][emoji3] mbona ipo wazi
Kwani hao waliotajwa hapa wamefanya vizuri walipoenda? Kwahiyo na nyie mmewafanyia Ndumba?Ulisikia kuna profesa hapo?
Mane anakula bata uarabuni tena anaporomosha majumba ya kifahari kwako maybe hao wengineHakuna mchezaji mkubwa kuliko timu. Mimi sio shabiki wa hio timu na wala sipo hapa kutoa utetezi ila kuna mifano mikubwa tunaiona hata huko ulaya mchezaji akiondoka kwa kufosi huku timu ikiwa inahitaji huduma yake safari yake ya soka hua inakua ngumu.
Cheki mane coutinho eden hazard hao ni wachache
😄zile hustle sa bayern vpMane anakula bata uarabuni tena anaporomosha majumba ya kifahari kwako maybe hao wengine