Mbona sehemu nyingine mnasema ni kazi ya BMT sijui AT, TFF kuandaa wachezaji na siyo Waziri? Kama hahusiki kwenye maandalizi na kuhakikisha tuna wachezaji wengi wa viwango vya Olympic means hahusiki kwenda. Siyo kunapohitajika resources mnasema hahusiki, hap wachache waliojipambania kufikia viwango mnataka msindikize. Why?
Yaani hiyo kwenda waziri ndipo tatizo huanzia maana ukisikia waziri usijekudhani anaenda kama ww na mimi ni lazima aambatane na watu kwa uchache sana 6-7 hoteli atakayotakiwa kulala sio zile wanaolala wanamichezo. Sasa swali langu hivi waziri ana lipi la kujivunia wakati mimi raia wa kawaida naiona failure!?