Ne-Yo akamilisha talaka, atamlipa aliyekuwa mke wake Tsh. Bilioni 3.7

Ne-Yo akamilisha talaka, atamlipa aliyekuwa mke wake Tsh. Bilioni 3.7

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1675411081862.png

Kwa mujibu wa makubaliano ya Talaka, Nyota huyo wa R&B atabaki na nyumba 3 kati ya 4 walizokuwa nazo, na kiasi hicho cha fedha atalipwa mzazi mwenzake, Crystal Renay ili kuweka usawa wa mali isiyohamishika.

Pia, Renay atabaki na nyumba 1, atalipwa Tsh. Milioni 46.7 kwaajili ya gharama za kuhama, Tsh. Milioni 350.5 za kununua gari jipya na atabaki na gari nyingine aina ya Bentley Bentayga ya mwaka 2022.

Mbali na hiyo, Ne-Yo atatakiwa kumlipa Renay Tsh. Milioni 28 kila mwezi kwaajili ya Malezi ya Watoto wao 3, atalipa ada za shule za Watoto pamoja na Tsh. 11.6 kila mwezi kama fidia kwa mzazi mwenzake baada ya kuachana.

=============

Ne-Yo and his wife are officially done.

Six months after announcing their separation, the R&B crooner and Crystal Renay have finalized their divorce.

According to the terms of their settlement, obtained by TMZ, Ne-Yo will keep three of the couple’s four Georgia homes and pay his ex $1.6 million to balance out the division of their real estate holdings.

Crystal will keep one of their homes and receive $20,000 in moving expenses. Ne-Yo will also pay her $150,000 so she can buy a new car. He will hold onto their 2022 Bentley Bentayga.

Additionally, Crystal will receive $12,000 a month in child support for their three kids and Ne-Yo will cover the children’s school expenses. This is in addition to the $5,000 a month in alimony he has to pay over the next three years.

Ne-Yo and Crystal will share joint custody, and have agreed that they won’t bring new partners around their children unless they get married or engaged to that person.

Crystal filed for divorce back in August after accusing the “So Sick” singer of cheating with multiple women over the course of eight years.

“8 Years. 8 Years of lies and deception. 8 years of unknowingly sharing my life and husband with numerous women who sell their bodies to him unprotected.. every last one of them!” she wrote. “To say I’m heartbroken and disgusted is an understatement.”

Ne-Yo responded to the cheating accusations by asking for privacy while he deals with the “challenges” with his family.

“For the sake of our children, my family and I will work through our challenges behind closed doors,” he said at the time. “Personal matters are not meant to be addressed and dissected in public forums. I simply ask that you please respect me and my family’s privacy at this time.”

RAP UP
 
8 Years. 8 Years of lies and deception. 8 years of unknowingly sharing my life and husband with numerous women who sell their bodies to him unprotected.. every last one of them!” she wrote. “To say I’m heartbroken and disgusted is an understatement.”

Hapa ndio kwenye mzizi wa fitina,jamaa kaoa ila bado anapiga wanawake nje wasio na idadi tena kavu,aisee

Mwanamke akaona hapa ntakufa ninajiona bora niondoke tu,.[emoji28]

Ndio maana inabidi amlipe na fidia ya kuachana,

Na hapo kila mmoja atakuwa na haki ya watoto wao ila marufuku kuwaweka watoto karibu na mpenzi/danga jipya labda uwe umechumbiwa au kuchumbia au kuoa/kuolewa kabisa.
 
Na hapo kila mmoja atakuwa na haki ya watoto wao ila huruhusiwi kuwaletea watoto mpenzi 'mpya' labda uwe umechumbiwa au kichumbia au kuoa/kuolewa.
Wapi ambako kuna waliooa halafu hawapigi wanawake nje?
Huku kwetu wanawake zenu wangekua strict hivyo,nidhamu ingekuwepo,sema sasa sisi maskini,hata vya kugawana ni vichache.
 
Kubali ndoa

Ndoa ni taasisi bora

Hata sisimizi na ndege wako wawili wawili(Ke& Me)

Mustakabali wa malezi bora ya Watoto huimarika katika ndoa.
Ndoa tutakubali ikiwa Sheria za Torati na Quran zitatumika, alizoweka Mwenyezi Mungu siyo hizi heathen laws zilizowekwa na mafeminists. Sasa tendo la ndoa limefanywa kuwa biashara na kitega uchumi na hakuna sheria za kuzuia, ukioa mke mrembo siyo wako peke yako na siku ukitetereka mwezi tu kiuchumi atakudharau na kukusaliti, ingawa madhabahuni aliapa mbele ya Mungu atakuwa nawe ktk shida na raha, for better for worse. Malezi ya watoto hakuna mama naye ameajiriwa au mfanyabiashara yupo busy na kazi na huko ofisini anadinywa na maboss apate vyeo au na wateja, anytime anapigwa transfer kikazi kwenda Mwanza mume yupo Songea, hakuna malezi hapo. Marriage institution imeuwawa na wamagharibi na wanatunuku mali na fedha wanawake ktk kila divorce case. Kuoa ni kujitakia majanga kwa sasa hadi sheria za Mwenyezi Mungu zitumike.
 
Wapi ambako kuna waliooa halafu hawapigi wanawake nje?
Huku kwetu wanawake zenu wangekua strict hivyo,nidhamu ingekuwepo,sema sasa sisi maskini,hata vya kugawana ni vichache.
Si ndio hapo sasa,mpelekane mahakamani kudai talaka siku ya kugawana Mali mna tv ya chogo Mezambovu kitanda kibovu kila takataka ni mbovu Sasa si michosho tu
 
Ile dhana ya kataa ndoa ni wizi,utapeli inapojitokeza wadau wa kataa ndoa wapo mbele kwa bao moja mpaka sasa hali ni ngumu sana hapa shamba la bibi dakika zinayoyoma..
 
Aisee kosa tu kuachana na upewe adhabu yote iyooo daah NDOA hizi za siku za hivi karibuni zinatutaka nini sisi mabachelor wa kizazi kipya??
 
8 Years. 8 Years of lies and deception. 8 years of unknowingly sharing my life and husband with numerous women who sell their bodies to him unprotected.. every last one of them!” she wrote. “To say I’m heartbroken and disgusted is an understatement.”

Hapa ndio kwenye mzizi wa fitina,jamaa kaoa ila bado anapiga wanawake nje wasio na idadi tena kavu,aisee

Mwanamke akaona hapa ntakufa ninajiona bora niondoke tu,.[emoji28]

Ndio maana inabidi amlipe na fidia ya kuachana,

Na hapo kila mmoja atakuwa na haki ya watoto wao ila marufuku kuwaweka watoto karibu na mpenzi/danga jipya labda uwe umechumbiwa au kuchumbia au kuoa/kuolewa kabisa.
Wizi mtupu. Ukiwa na hela bora usioe tu.
 
Back
Top Bottom