Ne-Yo akamilisha talaka, atamlipa aliyekuwa mke wake Tsh. Bilioni 3.7

Ne-Yo akamilisha talaka, atamlipa aliyekuwa mke wake Tsh. Bilioni 3.7

Mnaachana alafu cha ajabu badala wote mpewe adhabu mwanaume unaadhibiwa bila kujali kosa ni lako au lah😁
 
Duuuuuuh hawa jamaa zetu hawafai kabisa na utakuta hapo anachukua mali ambazo hakuchangia hata mia moja, eti analipwa na fidia ya kuachana bora nilizaliwa uswahilini 😂😂😂
 
Wapi ambako kuna waliooa halafu hawapigi wanawake nje?
Huku kwetu wanawake zenu wangekua strict hivyo,nidhamu ingekuwepo,sema sasa sisi maskini,hata vya kugawana ni vichache.
Hawa wa kwetu sio wanawake ni maroboti tu,mwanamke gani anazaa watoto kumi,analima kwa jembe akitoka shambani mtoto mgongoni kuni kichwani jembe begani kidumu cha maji mkononi
 
Ile dhana ya kataa ndoa ni wizi,utapeli inapojitokeza wadau wa kataa ndoa wapo mbele kwa bao moja mpaka sasa hali ni ngumu sana hapa shamba la bibi dakika zinayoyoma..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa wa kwetu sio wanawake ni maroboti tu,mwanamke gani anazaa watoto kumi,analima kwa jembe akitoka shambani mtoto mgongoni kuni kichwani jembe begani kidumu cha maji mkononi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaaah
 
Huyu dada amesema ukweli Ne-yo ni malaya sana tena anachukua wale strippers wa club mwanamke kila siku anaona mipicha picha,kufumania. chakufia ukimwi nini hata kama ni mimi nakuacha mchana kweupe ukimwi wako ufe nao mwenyew shwain.
 
Mbna Beyonce ana vumilia kwa Hoova, yaan yule baba ni zoa zoa mnooo khaaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom