covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Mnagawana vistuli na vijiko ila kelele hadi mtaa wa kumi.Wapi ambako kuna waliooa halafu hawapigi wanawake nje?
Huku kwetu wanawake zenu wangekua strict hivyo,nidhamu ingekuwepo,sema sasa sisi maskini,hata vya kugawana ni vichache.