Ne-Yo akamilisha talaka, atamlipa aliyekuwa mke wake Tsh. Bilioni 3.7

Wapi ambako kuna waliooa halafu hawapigi wanawake nje?
Huku kwetu wanawake zenu wangekua strict hivyo,nidhamu ingekuwepo,sema sasa sisi maskini,hata vya kugawana ni vichache.
Mnagawana vistuli na vijiko ila kelele hadi mtaa wa kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…