Uchaguzi 2020 NEC: Hakuna uthibitisho wa kura feki, taarifa hizo zipuuzwe

Kama zimekamatwa kwa nini hatuoni picha au video ya waliokuwa nazo

Maana mashine za kuprinti zipo nyingi na sana nchini

Huwezi kukamata begi peke yake na hakuna mtu aliekuwa nazo
 
Hizo kura fake zimeandaliwa na NEC. Karatasi ni wao walioziandaa na wao ndio waliowapa watu wa kwenda kuzitumia.

Hivyo tamko lao lolote lile ni ujinga mtupu.
 
Hizo kura fake zimeandaliwa na NEC. Karatasi ni wao walioziandaa na wao ndio waliowapa watu wa kwenda kuzitumia.

Hivyo tamko lao lolote lile ni ujinga mtupu.
NECCCM Tumeccm imelibaka sanduku la kura kwa kiwango cha kutisha mno
 
Jipuuze mwenyewe kwa upuuzi wako wa kujaribu kutengeneza uongo wa kishamba kuwa matukio ya wizi wa kura ya CCM ni feki, hakuna asiyejua CCM ni wezi wa kura na Duniani kote wanajua CCM ndiyo chama Bingwa wa uchakachuaji Duniani hawana mshindani kwa hilo
 
Nchi hii ina vituko sana...
 
Ukiona mtu anashindwa kutoa ushahidi kwa madai yanayohusu kituo fulani ndani ya jimbo na kuanza kutumia lugha ya jumla jumla ya ":duniani" ni ishara ya wazi kuwa hoja yake haina mshiko na ushahidi na anatafuta mahali feki pa kuiegemezea ambayo kwake anaona ni kutumia neno duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…