Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka "wezi" waaminiwe kuhifadhi fuko la fedha!!!Tume wameharibu wenyewe uchaguzi kizembe sana, unawazuiaje mawakala wa vyama kuingia vituoni huku akidai watu wasilinde kura?
Mbona kazima internet., labda mungu Wa wale waganga 900
Polisiccm wote na NECCCM wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwahujumu wapinzani lazima wafikishwe ICC The HagueWakajibu hivyo wakifika The Hague
NECCCM Tumeccm imelibaka sanduku la kura kwa kiwango cha kutisha mnoHizo kura fake zimeandaliwa na NEC. Karatasi ni wao walioziandaa na wao ndio waliowapa watu wa kwenda kuzitumia.
Hivyo tamko lao lolote lile ni ujinga mtupu.
Jipuuze mwenyewe kwa upuuzi wako wa kujaribu kutengeneza uongo wa kishamba kuwa matukio ya wizi wa kura ya CCM ni feki, hakuna asiyejua CCM ni wezi wa kura na Duniani kote wanajua CCM ndiyo chama Bingwa wa uchakachuaji Duniani hawana mshindani kwa hiloNi mchezo tu wa kutengeneza. Hakuna aliyethubutu hata kuripoti tukio Tume au Police. Watu wanajifungia eneo au kwenye kiwanja na kutawanya karatasi zao feki chini na kujirekodi kuwa wamepata kura feki. Uongo mtupu. Kama wana ushahidi kwa nini wasiripoti. Tuwapuuze
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma.
Amewataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura katika muda huu mchache uliobaki.
Jaji Kaijage amesema ''Kuna taarifa kuwepo masanduku ya kura feki katika Jimbo la Buhigwe, Kawe na Pangani, taarifa hizo hazijathibitishwa na hazijawasilishwa rasmi tume. NEC inataka wananchi wapuuze taarifa hizo kwa kuwa hazijathibitishwa"
Ukiona mtu anashindwa kutoa ushahidi kwa madai yanayohusu kituo fulani ndani ya jimbo na kuanza kutumia lugha ya jumla jumla ya ":duniani" ni ishara ya wazi kuwa hoja yake haina mshiko na ushahidi na anatafuta mahali feki pa kuiegemezea ambayo kwake anaona ni kutumia neno duniani.Jipuuze mwenyewe kwa upuuzi wako wa kujaribu kutengeneza uongo wa kishamba kuwa matukio ya wizi wa kura ya CCM ni feki, hakuna asiyejua CCM ni wezi wa kura na Duniani kote wanajua CCM ndiyo chama Bingwa wa uchakachuaji Duniani hawana mshindani kwa hilo