Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Sawa,tutakaa mita 150 au 200 kabisa ila suala la kusubiri matokeo yetu lipo pale pale
Hahah kweli kila sheria ina tobo lake la kutokea, nimeona mwingine hapo kasema atakaa mita 102.

Mimi nyumbani kwangu ni mita 78 kutoka kituo kilipo sasa sijui nikikaa hapo na jamaa zangu tukisubiri matokeo sheria inasemaje.
 
Tutapiga kura na kuzilinda hadi pale matekeo yatakapobandikwa vituoni, hayo maboksi yenu ya kura fake safari hii mtabaki nayo tu huko. Hakuta kuwa na upenyo wa kuyaingiza vituoni.
 
Mwaka huu NEC wataumbuka! Salama yao ni kuhamisha vituo. Kila kituo tayari kina miniature CCTV camera.

..hebu acheni kuwatisha.🤣

..ila Nec waache ubabaishaji.

..watakuja kuiingiza nchi ktk machafuko.
 
Hivi habari za kwenda nyumbani hao NEC wanahusika nazo vipi? Mara hii wameshajiona kwamba wao ni watawala wa Kijeshi?

Mamlaka zao zinashia ndaninya meta 100 kutoka kituo cha kupigia kura tena bila ya kuasili shughuli za watu.
 
Tuma picha tu tarehe 28
 
Sina kazi siku hiyo nikipiga kura naenda kula nakurudi eneo langu la kupiga kura kwa umbali wa mita100 ili hata nikisikia wanakwida mawakala wetu huko ndani ya kituo wakipiga kelele tuwasaidie, na ndo maana serikali na tume wameitenga rasmi hiyo siku kwa ajili ya kupiga kura tu,halafu utawasikia uvccm, polisi na nec etu ukipiga kura nenda nyumbani au kwenye shughuli zako ukale ubwabwa utafikiri walitupa pesa za kununua huo ubwabwa, hivi kwa tume hii na ccm wanaume wazima tupige kura halafu tukalale nyumbani ni madharau iliyopitiliza
 
Kuna vituo mahali vilipo na nyumba za watu meta 100 hazifiki, je hao mtawafukuza majumbani mwao?
Tufuate sheria
 
Kutumia jeshi haitakuwa mara ya kwanza, mbona sare za khaki zimeshonwa zaidi ya mahitaji mwaka huu?
 
NEC acheni kutumika,Dunia inaenda mbele, watanzania wa leo siyo kama wale wa zama za mawe,
Mnasema ni kosa la jinai kusubili mita 100,
Teelezwe ni kifungu gani cha sheria kinachokataza?
Sheria ya uchaguzi si umeshaambiwa
Pia kuna sheria ya hati miliki ya ardhi hicho kiwanja ni mali yako au ya baba yako? huwezi kwenda kujikalisha eneo la mtu kumjazia watu kwenye eneo lake kienyeji tu

Pili mkusanyiko usio halali usio na kibali cha polisi.Hizo mita mia labda mkakusanyike porini kusikokuwa na mumiliki yeyote
 
Ahaahhahshs
 
Ahaahhahshs
 
Nguvu ya umma haijawahi kuzuilika
 
Teheteheteheeeeee
 
Mkuu nimecheka Sana kwamba tarehe 28 tunatoka tumekula chakula Cha siku tatu,maana hakuna Rudi nyumbani,mwaka huu kazi sio ndogo ni pevu kweli
 
NEC haina uwezo wa kuzuia wananchi milioni 10 kulinda kura zao.

Haina resouces za kufanya hivyo nchi nzima. raia ni wengi kuliko Majeshi yote yaliyoko nchini
Tutalinda kura zetu ili kuleta maana ya kupiga kura, hizo kura zao FAKE watafute namna nyingine ya kuziingiza lakini si huko vituoni.
 
Hivi ni viashiria vya shari na uwizi wa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…