Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Wewe chizi kweli wewe nguvu ya umma unayoisema sijui ina watu wangapi..sijui unadhani unapambana na serikali pekeyake unajidanganya...serikali ya Magu inawafuasi wananchi zaidi ya asilimia 90 mpaka Sasa..Sasa hao asilimia 10 ndio mnaita nguvu ya umma..s.t.u.iip.dd..nendeni kwanza mkapambane na Membe mmalizane...wenyewe kwa wenyewe...mrudi kwetu tarehe 29 oktoba..wananchi tutakuwa tumeshafanya yetu
 
Nasema hiviiii
Kila chama kiweke watu wake vituoni kulinda kura za mgombea wao, msimamizi wa uchaguzi atakayeletwa fyoko atembezewe kipigo cha mbwa koko
 
Nec wanaandaa mazingira ya kuiba kura, tutakaa na tumejidhatiti kulinda kura kwa wivu mkubwa. Hakuna sheria inayozuia watu kukaa mita mia toka kituo kilipo
Jomba unajuaje Kama hao wapiga kura watakupigia..wewe..au chama chako..ukikuta hawajakupigia kura utawapa adhabu gani jomba..umeweka mikataba na wapiga kura
 
Kwa akili yako unadhani vituo vyote watu wote ni wapiga kura wa Lissu tuu kiasi kwamba mnaweza kufanya chochote, na wapiga kura wa Magufuli tutakuwepo tutapambana wataoshindwa wataondoka.
 
Vyovyote vi

Huu siyo mtihani bana ni kuchagua vingozi kwaajili ya maisha yetu
Ukimaliza paper moja inafuata nyingine, unakuwa mazingira hayo ila kwa utulivu. Ni kazi ya polisi kuona amani na utulivu vinashamiri. Si wote watabaki eneo karibu na vituoni, kuona kinacho endelea, msiwanyime haki hiyo. Vingineyo mmejipanga kuhukumu uchaguzi. Mara ngapi CCM wameingiza kura za ziada kupitia chupa za chai? Wapinzani kuweni makini, kura za kuhesabiwa upya kwa mkurugenzi kataeni, huwa tayari zimeongezwa zingine.
 
Sheria gani inasema ivo! We jamaa umekuwaje siku hizi?
 
Kama mpiga kura unalazimika kulinda kura hapa kazi ya mawakala wa vyama inakuwa ipi? Wapinzani acheni kuchochea vurugu, kikinuka hamna mshindi. Shauri yenu
 
Ukiwa nyuma ya keyboard unatamba hakuna mfanowe, mitaani sasa
 
Kukaa 100m ni kosa la jinai kwa mujibu wa kifungu kipi cha sheria ya uchaguzi? Mbona hawa ni wababaishaji kama yule bosi aliyesema mapingamizi ya Lissu dhidi ya mgombea fulani kipindi kile alipokuja na kusema mapingamizi hayana msingi wowote wa kisheria bila hata kuitaja sheria aliyoegemea? Hawa walisoma wapi sheria?
 
Usishangae tume wakatunga sheria kinyemela wakaiweka hapo, maana tume akili zao zimehamia ntuma labisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…