Uchaguzi 2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

Rais wa JMTZ anabakia kuwa Rais wa JMTZ mpaka pale Rais mpya atakapoapishwa, hivyo Magufuli ni Rais wa nchi na huwezi kumlinganisha na wagombea wengine, hiyo ni Katiba yetu, ...

Kwa hiyo hapo anafanya majukumu ya chama au ya serikali?
 
Rais wa JMTZ anabakia kuwa Rais wa JMTZ mpaka pale Rais mpya atakapoapishwa, hivyo Magufuli ni Rais wa nchi na huwezi kumlinganisha na wagombea wengine, hiyo ni Katiba yetu, ...
Wagombea wote ni sawa kwa mujibu wa sheria za Uchaguzi zilizopo kikatiba.
 
Rais wa JMTZ anabakia kuwa Rais wa JMTZ mpaka pale Rais mpya atakapoapishwa, hivyo Magufuli ni Rais wa nchi na huwezi kumlinganisha na wagombea wengine, hiyo ni Katiba yetu, ...

Kama watangaza live matukio ya wagombea wengine ambao ni raia wa Tanzania katika mfumo wa vyama vingi uliopo kikatiba, katika usawa huo huo waliofanya kwa Mh. Rais itakuwa hakuna shida.
 
Wewe ni tumbo nyuma?
 
Katafuta wadhamini kimya kimya pamoja yeye ndio rais wa nchi lakini wakina kajamba nani sasa ......kila kona kumchafua utasema hicho ndio walichotumwa na nec
 
Wagombea wote ni sawa kwa mujibu wa sheria za Uchaguzi zilizopo kikatiba.

Inategemea usawa gani unaoungelea, raisi Magufuli ana uwezo sasa hivi kusimamisha zoezi zima la uchaguzi na kulifuta au hata kusogeza mbele, Hashimu Runge au sijui Tundu lisu hawana huo uwezo, hivyo jaribu kuwa mwangalifu unavyojaribu kulinganisha mambo, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…