kambiko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 356
- 308
Ni nani aliyekuambia unyonge ni sifa ya Mwanadamu.Watz kuweni wazalendo huyu ndio rais wawanyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani aliyekuambia unyonge ni sifa ya Mwanadamu.Watz kuweni wazalendo huyu ndio rais wawanyonge
CCM wamelipia hayo matangazo halafu channel ten ni ya CCM, na CDM wangekuwa na ya kwao wangemwonesha Lissu akiwa na Salum Mwalimu.TBC walipaswa kuwa live kwa wagombea wrote, kitendo cha kubagua sio saws.rai yangu time wawateue wagombea wrote wenye sifa.Umma utaamua kwenye sanduku LA kura.
Hata anapoenda kwa wake za watu?Rais wa JMTZ anabakia kuwa Rais wa JMTZ mpaka pale Rais mpya atakapoapishwa, hivyo Magufuli ni Rais wa nchi na huwezi kumlinganisha na wagombea wengine, hiyo ni Katiba yetu, ...
Utakuwa muhamiaji haramu ndio maana unaipenda CCM.Acha uwongo.. munapenda kulalamika tu.
Upinzani wao banapenda Twitter.. baendelee.. ruzuku wamekula viongozi.. ofisi za kudumu za Chadema na wengine hawana.. hao sio watulivu.. ni wafanya fujo tu kushiba matumbo yao..
sera hawana.. hawavutii hata watu wa media.. wakitaka kusema ngonjera na mipasho.. ndiwo wanaita media na kuwaomba wafike.. walipo..
Tulia.. demokrasia.. sio kusingizia pande moja.. uwongo.. huku upinzani futi sita.. ni wao walivyo.. tena babaya sana.. matumbo mbele..
Subiri, wamemalizana na mmoja kuna wengine wanafuata.Hiyo live coverage inaendelea hadi kwa Lissu?
Huyo siyo mwenyekiti wenu Mbowe, hizo tabia za CDM.Hata anapoenda kwa wake za watu?
Wakati mwingine ni ngumu kutenganisha, ...
Acha kulia lia, nenda kaombe price list ya live coverage ili TBC warushe live pindi unapokuwa unaandika ujinga. Nani kakuambia kuwa CCM hawana haki ya kutumia TBC? Ningekuona una hoja kama ungeuliza TBC wamelipwa bei gani ili kurusha hayo matangazo.Hivi TBC ni Tv ya CCM au ya umma?
Hivi inakuwaje pesa za walipa kodi zinafanya mambo ya chama tawala tu inashindwa kufanya mambo ya vyama vingine...
Huu ndio uhuni anaousema Tundu Lissu Kila siku.
Pesa za umma kutumika pasipo ridhaa ya Wananchi.
Mwenyekiti wa CHADEMA Morogoro, dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa.Utakuwa muhamiaji haramu ndio maana unaipenda CCM.
Ugumu unatoka wapi, ukienda chooni nishuguli binafsi ukiingia ofisini ni kazini. Hivyo hivyo shughuli za chama vs shughuli za serikali zinafahamika. Anachopaswa kupatiwa muda wote ni ulinzi Kama mkuu wa nchi hata Kama yupo kwenye shughuli za chamaWakati mwingine ni ngumu kutenganisha, ...
Muulizie waziri kairuki kazaa na naniHuyo siyo mwenyekiti wenu Mbowe, hizo tabia za CDM.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Utakuwa muhamiaji haramu ndio maana unaipenda CCM.
Ugumu unatoka wapi, ukienda chooni nishuguli binafsi ukiingia ofisini ni kazini. Hivyo hivyo shughuli za chama vs shughuli za serikali zinafahamika. Anachopaswa kupatiwa muda wote ni ulinzi Kama mkuu wa nchi hata Kama yupo kwenye shughuli za chama
Uchaguzi wa Rais upo kwa mujibu wa katiba na si kwa mujibu wa matakwa ya Rais.Inategemea usawa gani unaoungelea, raisi Magufuli ana uwezo sasa hivi kusimamisha zoezi zima la uchaguzi na kulifuta au hata kusogeza mbele, Hashimu Runge au sijui Tundu lisu hawana huo uwezo, hivyo jaribu kuwa mwangalifu unavyojaribu kulinganisha mambo, ...
December 2020- February 2021 kutakuwa na kesi yenye mvuto sana kwa wananchi ikihusu watendaji wa umma.TBC walipaswa kuwa live kwa wagombea wrote, kitendo cha kubagua sio saws.rai yangu time wawateue wagombea wrote wenye sifa.Umma utaamua kwenye sanduku LA kura.
Uchaguzi wa Rais upo kwa mujibu wa katiba na si kwa mujibu wa matakwa ya Rais.
Rais aliye madarakani anaweza kupoteza sifa za kuwa mgombea wa kiti cha Urais kama tu vile ambavyo mgombea mwingine yeyote anavyoweza kupoteza sifa.
Sawa, tumekusikia...!TBC walipaswa kuwa live kwa wagombea wrote, kitendo cha kubagua sio saws.rai yangu time wawateue wagombea wrote wenye sifa.Umma utaamua kwenye sanduku LA kura.
Ila hii ya Lisu kuwa na Mwalimu sijaielewa, bila shaka yatakuwa mapendekezo kutoka kwa mabeberu!CCM wamelipia hayo matangazo halafu channel ten ni ya CCM, na CDM wangekuwa na ya kwao wangemwonesha Lissu akiwa na Salum Mwalimu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Lisu atapitishwa na Amsterdam..Kapitishwa fasta