Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Baada ya kupokea maalekezo ili waweze kuyafanyia kazi kutoka ndani ya kikao cha hivi karibuni cha KK ya halmashauri kuu ya taifa ya CCM.[emoji1630]BREAKING NEWS:
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC ) Jaji Semistocles Kaijage, amesema Tume imepokea Rufaa (mapingamizi) katika ngazi ya Ubunge na Udiwani 557 hadi sasa , nakusema kuwa Tume inaanza kusikiliza na kuzishughulikia Rufaa hizo mara moja kuanzia leo hii https://t.co/AtjrVGdDG9
Tatizo lao ni kutanguliza ukadaWamefeli sana, uwezo wao wa kuongoza hiyo tume ni mdogo
Nakuunga mkono kwa 100%Tunachotaka warudishe majina yote yaliyokatwa kihuni
Hawawezi kumsononesha aliye wachaguaNgoja tusubili watu waliokwisha wabariki kwa kupita bila kupingwa watawafanyenje.
Na leo alivyo surubishwa pale kwa mh Lissu,Inategemea na mwenyekiti ameamkaje kama bado ana hangover kichwani tusitegemee haki kupatikana
Wagombea wenu wamekula Advance wakosee ujazaji fomuTunachotaka warudishe majina yote yaliyokatwa kihuni
Hawana hata haya wafute zote watu waingie ulingoni kama ni kushinda washinde kwa kura za wananchi Haki huinua Taifa[emoji1630]BREAKING NEWS:
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC ) Jaji Semistocles Kaijage, amesema Tume imepokea Rufaa (mapingamizi) katika ngazi ya Ubunge na Udiwani 557 hadi sasa , nakusema kuwa Tume inaanza kusikiliza na kuzishughulikia Rufaa hizo mara moja kuanzia leo hii https://t.co/AtjrVGdDG9
Naona Kama wamechelewa,au walihitaji kuona upepo unaendaje Kwanza au wamekuwa na majukumu mengiWamefeli sana, uwezo wao wa kuongoza hiyo tume ni mdogo