Uchaguzi 2020 NEC imepokea rufaa 557 za mapingamizi, na imeanza kuzifanyia kazi

Mzee, hakuna asiyejua kujaza form za ubunge na udiwani...tunaomba ujitoe kwenye hizi lawama za kisheria...tunakupenda..hatutaki baada ya uchaguzi tukuone badala ya kukaa wa wajukuu kuanze kupiga safari za ze hegi..

JK alishasema " Changanya na za kwako"

CCM hawabebeki, watakuponzamo!!
 
Haiwezekani walioenguliwa wote wawe ni wapinzani pekee, huyo jaji anatakiwa kuwarudisha wagombea wote bila masharti kama anataka kuheshimika, uliofanyika ni uhuni tu.
 
Maalim Seif Mungu aendelee kukuweka hai.
HATUKUBALI...HATUKUBALI...HATUKUBALIIIII!
 
😂😂😂😂😂 mwezi wa tisa huu rufaa nyingi uchaguzi mwezi wa kumi yaani hawa miTUME wanachekesha sana 😂😂😂😂😂
 
Uwezo wao tutaanza kuuona la watatuingiza katika machafuko
 
Sahihi kabisa kwa 100%
 
Naona Kama wamechelewa,au walihitaji kuona upepo unaendaje Kwanza au wamekuwa na majukumu mengi
Mkuu hujui kuwa jana kulikuwa na kikao cha kamati kuu kule kwa matonya?
 
Tunatarajia kuona haki ikitendeka kwa wote bila ubaguzi.
 
Alafu yule mama Fatou Bensouda wa icc hanaga huruma kabisa
 
Haiwezekani walioenguliwa wote wawe ni wapinzani pekee, huyo jaji anatakiwa kuwarudisha wagombea wote bila masharti kama anataka kuheshimika, uliofanyika ni uhuni tu.
Hao hawaonagi haya, mfano Jecha bila aibu alitaka kugombea urais kule zenji
 
Makosa yatakuemo ila ya kutengenezewa, mfano Kilimanjaro wapinzan wanapewa form tofauti na waliyopewa ccm.
Ni wazi lazima ujazaji uwe tofauti na mwisho zikienda tuma itaonesha kweli wamekosea kumbe ni janja janja ya baadhi ya mashetan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…