Uchaguzi 2020 NEC kama 'mlivyoonekana' leo basi naomba tarehe 8, August 2020 Lissu akija hapo niyaone pia haya yafuatayo...

Rais ni Rais tu hata ikiwa ni mgombea bado
anasimama kuwa Rais. So acha Lissu apokelewe na Wakurugenzi kwani hawez hata kufikisha 10% ya kura zikipigwa
 
usistaajabu hata ofisi ikafungwa siku hiyo kwa kisingizio ni sikukuu
 
Rais ni Rais tu hata ikiwa ni mgombea bado

anasimama kuwa Rais. So acha Lissu apokelewe na Wakurugenzi kwani hawez hata kufikisha 10% ya kura zikipigwa

Kwa hiki ulichokiandika tu hapa, Ushauri wangu 'Kuntu' kabisa Kwako nakushauri omba Kitanda chako cha Wagonjwa pale Milembe Hospitali Dom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…