zigii
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 515
- 211
Wa leo ndio anawafanya wanalipwa, Lisu bado hajawa mkubwa wao.
Kwa kuwa wanawalipa ni dhahiri watarudisha fadhila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa leo ndio anawafanya wanalipwa, Lisu bado hajawa mkubwa wao.
anasimama kuwa Rais. So acha Lissu apokelewe na Wakurugenzi kwani hawez hata kufikisha 10% ya kura zikipigwa1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
usistaajabu hata ofisi ikafungwa siku hiyo kwa kisingizio ni sikukuu1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Rais ni Rais tu hata ikiwa ni mgombea bado
anasimama kuwa Rais. So acha Lissu apokelewe na Wakurugenzi kwani hawez hata kufikisha 10% ya kura zikipigwa
usistaajabu hata ofisi ikafungwa siku hiyo kwa kisingizio ni sikukuu