Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na amevalia nguo za CCM? Kuna tofauti gani kati ya kampeni na ziara?
2. Mwiteni na kumuonya Waziri mkuu.
Waziri mkuu anafanya kampeni nchi nzima na kutoa ahadi kama nani na anatumia sheria ya nchi gani?
Mnataka kulipeleka wapi taifa hili? Kwanini mnaanzisha uonevu wa wazi wazi ninyi?
Sasa tunasubiri na hawa muwaandikie barua. Mkikaa kimya tutajua kua mnatumika na Rais hatutakubaliana na hii double standard.