Mungu ni mwema sana.Mungu si abdala lissu kawa raisi hawa wazinguaji wa sasa watakua kwenye hali gani jamani. Kwanini watu wamekosa haya wala soni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwema sana.Mungu si abdala lissu kawa raisi hawa wazinguaji wa sasa watakua kwenye hali gani jamani. Kwanini watu wamekosa haya wala soni
uchaguzi huu? eeh mungu
Usichokijua ni kwamba kwa muundo wa tume ya uchaguzi tuliyo nayo sasa hivi mkurugenzi wa Tume ni Magufuli
Sijaona Rais ametajwa hapo kwenye sheria uliyoambatanisha pia Waziri Mkuu mkuu!!?NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na amevalia nguo za CCM? Kuna tofauti gani kati ya kampeni na ziara?
2. Mwiteni na kumuonya Waziri mkuu.
Waziri mkuu anafanya kampeni nchi nzima na kutoa ahadi kama nani na anatumia sheria ya nchi gani?
Mnataka kulipeleka wapi taifa hili? Kwanini mnaanzisha uonevu wa wazi wazi ninyi?
Sasa tunasubiri na hawa muwaandikie barua. Mkikaa kimya tutajua kua mnatumika na Rais hatutakubaliana na hii double standard.
View attachment 1583749
Karibu barabarani wakuvunje miguu halafu wakina Lissu wakuache solemba!Bila kuingia mtaani ndugu hakuna haki tutaona.
Huyu mhutu kishavuruga uchaguzi kwa kufuata maelekezo ya KICHAA ili kupambana na Lissu.
Bila kuingia mtaani ndugu hakuna haki tutaona.
HaweziKwa unyenyekevu huu huyu jamaa anaweza kumuita Magu kwny kikao?View attachment 1583750
Hawawezi kuacha HawaNEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na amevalia nguo za CCM? Kuna tofauti gani kati ya kampeni na ziara?
2. Mwiteni na kumuonya Waziri mkuu.
Waziri mkuu anafanya kampeni nchi nzima na kutoa ahadi kama nani na anatumia sheria ya nchi gani?
Mnataka kulipeleka wapi taifa hili? Kwanini mnaanzisha uonevu wa wazi wazi ninyi?
Sasa tunasubiri na hawa muwaandikie barua. Mkikaa kimya tutajua kua mnatumika na Rais hatutakubaliana na hii double standard.
View attachment 1583749
Hakuna wazir aliyetangaza kazi wala lolote isipokuwa rais na sheria hapo haijamkataza raisNEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na amevalia nguo za CCM? Kuna tofauti gani kati ya kampeni na ziara?
2. Mwiteni na kumuonya Waziri mkuu.
Waziri mkuu anafanya kampeni nchi nzima na kutoa ahadi kama nani na anatumia sheria ya nchi gani?
Mnataka kulipeleka wapi taifa hili? Kwanini mnaanzisha uonevu wa wazi wazi ninyi?
Sasa tunasubiri na hawa muwaandikie barua. Mkikaa kimya tutajua kua mnatumika na Rais hatutakubaliana na hii double standard.
View attachment 1583749
Umesahau jambo jingine "kutumia lugha ya kikabila ktk kuomba kura kwa wanainchi".NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na amevalia nguo za CCM? Kuna tofauti gani kati ya kampeni na ziara?
2. Mwiteni na kumuonya Waziri mkuu.
Waziri mkuu anafanya kampeni nchi nzima na kutoa ahadi kama nani na anatumia sheria ya nchi gani?
Mnataka kulipeleka wapi taifa hili? Kwanini mnaanzisha uonevu wa wazi wazi ninyi?
Sasa tunasubiri na hawa muwaandikie barua. Mkikaa kimya tutajua kua mnatumika na Rais hatutakubaliana na hii double standard.
View attachment 1583749
NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?

Hahahahaa, Masoud ni hatariHuyo anatelekeza ilani ya ccm.
View attachment 1583880
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na amevalia nguo za CCM? Kuna tofauti gani kati ya kampeni na ziara?
2. Mwiteni na kumuonya Waziri mkuu.
Waziri mkuu anafanya kampeni nchi nzima na kutoa ahadi kama nani na anatumia sheria ya nchi gani?
Mnataka kulipeleka wapi taifa hili? Kwanini mnaanzisha uonevu wa wazi wazi ninyi?
Sasa tunasubiri na hawa muwaandikie barua. Mkikaa kimya tutajua kua mnatumika na Rais hatutakubaliana na hii double standard.
View attachment 1583749
Ha ha ha. Mbona Waziri Mkuu ni waziri?Ingekuwa vyema usome kwanza hicho ulichoambatisha kabla ya kulalamika. Wapi Rais na Waziri Mkuu wametajwa hapo. Ni sheria ipi unayoizungumza?
Mzembe sana wa Kufikiri wewe bwana, kuna sehemu amewahi kujitambulisha kama waziri?NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?