Uchaguzi 2020 NEC, msiopowaita hawa raia hatutakubali huu uonevu

Waziri mkuu ni waziri kama mawaziri wengine waliotoka bungeni ni mbuge pia hicho cheo alichonacho kinatokana na ubunge wake.
 
Sijaona Rais ametajwa hapo kwenye sheria uliyoambatanisha pia Waziri Mkuu mkuu!!?
 
Hawawezi kuacha Hawa

Sahau,
 
Nimetafuta mantiki yeyote kwenye huu uzi nimeambulia patupu.
 
Hakuna wazir aliyetangaza kazi wala lolote isipokuwa rais na sheria hapo haijamkataza rais


Kinachofanyika wale wanapokea maagizo ambayo kisheria hayajakatazwa


Muwe mnaelewa
 
Umesahau jambo jingine "kutumia lugha ya kikabila ktk kuomba kura kwa wanainchi".
 
 
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.

Babymama cariha , pls join me
 
Mzembe sana wa Kufikiri wewe bwana, kuna sehemu amewahi kujitambulisha kama waziri?
Anapiga kampeni na ANARUHUSIWA KISHERIA KUFANYA HIVYO kwasababu
1. Yupo kwenye Orodha ya Watu 50 ambao wana jukumu la kumnadi Mgombea URais, Na sheria iko wazi kwamba Mgombea URais atakuwa na Timu ya watu wasiozidi 50 kumsaidia kupiga kampeni kokote nchini.
2. Mnapopigwa mweleka ni hapa, Hatumii cheo mnachomuita. Yeye ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM.

Mambo mepesi tu, mnahangaikaaa kama kuku anaetaka kutaga. Wacheni porojo
 

Hii ni NEC ya kipumbavu sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…