Kakojoe ulaleMzembe sana wa Kufikiri wewe bwana, kuna sehemu amewahi kujitambulisha kama waziri?
Anapiga kampeni na ANARUHUSIWA KISHERIA KUFANYA HIVYO kwasababu
1. Yupo kwenye Orodha ya Watu 50 ambao wana jukumu la kumnadi Mgombea URais, Na sheria iko wazi kwamba Mgombea URais atakuwa na Timu ya watu wasiozidi 50 kumsaidia kupiga kampeni kokote nchini.
2. Mnapopigwa mweleka ni hapa, Hatumii cheo mnachomuita. Yeye ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM.
Mambo mepesi tu, mnahangaikaaa kama kuku anaetaka kutaga. Wacheni porojo
Hongera kwa kiingereza chako cha kutongozea mademu wa chuo.What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.
Babymama cariha , pls join me
Unadhani kuwa hawajui ni wanajitoa tu akili wehu awa.Mzembe sana wa Kufikiri wewe bwana, kuna sehemu amewahi kujitambulisha kama waziri?
Anapiga kampeni na ANARUHUSIWA KISHERIA KUFANYA HIVYO kwasababu
1. Yupo kwenye Orodha ya Watu 50 ambao wana jukumu la kumnadi Mgombea URais, Na sheria iko wazi kwamba Mgombea URais atakuwa na Timu ya watu wasiozidi 50 kumsaidia kupiga kampeni kokote nchini.
2. Mnapopigwa mweleka ni hapa, Hatumii cheo mnachomuita. Yeye ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM.
Mambo mepesi tu, mnahangaikaaa kama kuku anaetaka kutaga. Wacheni porojo
Hii kauli imenikera sana na imebadili sana mtizamo wanguKwakweli mgombea urais wachama cha magu anacheza rafu nyingi sana mfano
Mkichagua mpinzani hampati maendeleo wakati tanzania ni 1 vyama visituondolee umoja wetu
Tunataka rais atauendeleza umoja wetu vyama vipo tanzania nimali yawatanzania kama yalivyo madini mareli mabwawa hatahayo mandendege tunavitu vingi vinaingiza hasara kama vile timu ya taifa na vilabu kimatafa lakini bado nivyetuHii kauli imenikera sana na imebadili sana mtizamo wangu
NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na amevalia nguo za CCM? Kuna tofauti gani kati ya kampeni na ziara?
2. Mwiteni na kumuonya Waziri mkuu.
Waziri mkuu anafanya kampeni nchi nzima na kutoa ahadi kama nani na anatumia sheria ya nchi gani?
Mnataka kulipeleka wapi taifa hili? Kwanini mnaanzisha uonevu wa wazi wazi ninyi?
Sasa tunasubiri na hawa muwaandikie barua. Mkikaa kimya tutajua kua mnatumika na Rais hatutakubaliana na hii double standard.
View attachment 1583749
[/QU
lazima utambue kwamba Mh.Kassimu Majaliwa kwasasa atembei kama Waziri Mkuu,bali yeye ni Mjumbe wa kamati kuu ya CCM.
Pia, Tufahamu kwamba kwamujibu wa kifungu cha 7(3) cha Kanuni ya Taifa ya Uchaguzi, Mgombea atakuwa na timu ya Kampeni kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za Uchaguzi . Mgombea huyu anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi.
Mgombea Urais anakuwa na timu ya kampeni yenye watu 50 waliorodheshwa na chama husika kisha orodha hiyo kuwasilishwa kwa Msajili wa vyama vya siasa (Kanuni ya Taifa ya Uchaguzi ,Kifungu cha 17(1)(a)); hivyo ndg Majaliwa ni miongoni mwa hao watu 50 wanaotambulika.
Hivyohivyo ,Mgombea kiti cha Ubunge kwa Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20)(Kanuni ya Taifa ya Uchaguzi ,Kifungu cha 17(1)(b)).
Mgombea ubunge kwa Tanzania Zanzibar anapaswa kuwasilisha kwa Katibu Tawala wa Wilaya timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1)(b));
,Mgombea kiti cha Udiwani anapaswa kuwasilisha kwa Afisa Mtendaji wa Kata husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi kumi(10)(Kanuni ya Taifa ya Uchaguzi ,Kifungu cha 17(1)(b)).
hivyo,tunaposikia tuu majukwaani turudi kwanza kwa utafiti kabla ya kuanza kulalamika na kuporomosha matusi.
Mpaka uwe na IQ nzuri ndiyo utaambulia kitu.Nimetafuta mantiki yeyote kwenye huu uzi nimeambulia patupu.
Audio number njaa. Je mnamuombea njaa huyo Dr.Hawana ubavu huo kwa kulinda vibarua vyao
Kwani waziri mkuu siyo waziri?Ingekuwa vyema usome kwanza hicho ulichoambatisha kabla ya kulalamika. Wapi Rais na Waziri Mkuu wametajwa hapo. Ni sheria ipi unayoizungumza?
Umeelewa nilichoandikaAudio number njaa. Je mnamuombea njaa huyo Dr.
Ivi Mwalimu akisema viranja wote piteni mbele, kiranja mkuu atabaki nyuma? Mafisiem kuweni na akili walau kidogo basi kumsifu kiranja wa malaika muda wote hadi uwezo wa kufikiri unadumaa. Ukishakuwa waziri mkuu wewe ni waziri, ndo maana kwenye baraza la mawaziri waziri mkuu yumo. Katika uchaguzi huu wagombea wako kwenye ngazi tatu tu, udiwani, ubunge na urais. Wote wanaowania nafasi kwenye ngazi hizi ni wagombea na sheria inawataja kwa makatazo hayo.Ingekuwa vyema usome kwanza hicho ulichoambatisha kabla ya kulalamika. Wapi Rais na Waziri Mkuu wametajwa hapo. Ni sheria ipi unayoizungumza?
NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na amevalia nguo za CCM? Kuna tofauti gani kati ya kampeni na ziara?
2. Mwiteni na kumuonya Waziri mkuu.
Waziri mkuu anafanya kampeni nchi nzima na kutoa ahadi kama nani na anatumia sheria ya nchi gani?
Mnataka kulipeleka wapi taifa hili? Kwanini mnaanzisha uonevu wa wazi wazi ninyi?
Sasa tunasubiri na hawa muwaandikie barua. Mkikaa kimya tutajua kua mnatumika na Rais hatutakubaliana na hii double standard.
View attachment 1583749
jamaa ananyenyekea kama anakwenda kupata komonio!!Kwa unyenyekevu huu huyu jamaa anaweza kumuita Magu kwny kikao?View attachment 1583750
in short "watendaji wa serekali " nikwa ujumla hajatajwa moja moja.Ingekuwa vyema usome kwanza hicho ulichoambatisha kabla ya kulalamika. Wapi Rais na Waziri Mkuu wametajwa hapo. Ni sheria ipi unayoizungumza?
Mkuu huu sio unyenyekevu ni umbulula! Hivi unawezajetembea mikono ukiwaumefunga kwa namna hiyo!Kwa unyenyekevu huu huyu jamaa anaweza kumuita Magu kwny kikao?View attachment 1583750
Nakiri ,umasikini wa akili ni tatizo kubwa sana.Ivi Mwalimu akisema viranja wote piteni mbele, kiranja mkuu atabaki nyuma? Mafisiem kuweni na akili walau kidogo basi kumsifu kiranja wa malaika muda wote hadi uwezo wa kufikiri unadumaa. Ukishakuwa waziri mkuu wewe ni waziri, ndo maana kwenye baraza la mawaziri waziri mkuu yumo. Katika uchaguzi huu wagombea wako kwenye ngazi tatu tu, udiwani, ubunge na urais. Wote wanaowania nafasi kwenye ngazi hizi ni wagombea na sheria inawataja kwa makatazo hayo.