ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Wananchi inatakiwa waandaliwe chinichini, DED akifunga ofisi abanwe mtaani aishi kwa hofu! Polisi wakiingilia nao wabanwe mtaani waishi kwa hofu!Ni aibu kusema haya leo. Kilichofanyika kwenye chaguzi ndogo Korogwe na sehemu nyingine nchini kinajulikana. NEC imejishushia heshima kwa jamii na matamko haya ni uthibitisho kilichofanyika walikijua na kukikubali.
Kwahio wale ambao walifanyiwa zengwe last season tufanyeje?? Namkumbuka Dada yangu Saguti aliyegombea KorogweMwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia wagombea na wadau wa vyama vya siasa.
Njia nyingine wanayoutumia Ni kuwavamia wapinzani wanaporudisha fomu na kuzichanaKule Korogwe 2015 Mkurugenzi aliwakimbia Chadema
KininjaninjaWananchi inatakiwa waandaliwe chinichini, DED akifunga ofisi abanwe mtaani aishi kwa hofu! Polisi wakiingilia nao wabanwe mtaani waishi kwa hofu!
Mmejirekebisha uchaguzi huu
Kweli kabisaa dada alifanyiwa kitu kibaya sana , alafu huyu bwanamdogo Mzava wa kijanai aliepitaga bila kupinga alichofanya kura za maoni ni hatari , zaidi ya mil 60 imetumika kuwaonga wajumbe.Kwahio wale ambao walifanyiwa zengwe last season tufanyeje?? Namkumbuka Dada yangu Saguti aliyegombea Korogwe
Tafadhali, elimu haina mwisho, kajifunze kidogo, NEC haisimamii uchaguzi wa serikali za mitaa.Ni aibu kusema haya leo. Kilichofanyika kwenye chaguzi ndogo Korogwe na sehemu nyingine nchini kinajulikana. NEC imejishushia heshima kwa jamii na matamko haya ni uthibitisho kilichofanyika walikijua na kukikubali.
Ni kwamba hao wasimamizi na maofisa wa uchaguzi hawafuati maelekezo ya NEC bali wanatekeleza maagizo kutoka juu na ndio maana tunasema NEC haiko huru.Usikariri bwashee!
Shida ipo hapo , naona tatizo kubwa ni nani awajibike kwa naniTatizo ni kwamba NEC siyo mamlaka ya uteuzi. Hivi aliowateua akisema wafunge ofisi NEC
itafanya nini kwa mfano?
CCM ni wapenzi wa rushwa sana! Ukiwakuta wanakemea rushwa utadhani ni malaika.Kweli kabisaa dada alifanyiwa kitu kibaya sana , alafu huyu bwanamdogo Mzava wa kijanai aliepitaga bila kupinga alichofanya kura za maoni ni hatari , zaidi ya mil 60 imetumika kuwaonga wajumbe. Kwanza aliwapiga smartphone wote wajumbe , baadae akawagonga lakimoja na msosi juu, jamaa katumia gharanma kubwa sana na tutashangaa Magu akimpitisha
Wanatuona mazuzu,dharau kwa wagombea wa upinzani.Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi inahamishwaje?Mhusika akashindishwa uchaguzi,akwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano kiharamia.Hawa ndio walituaminisha kule Korogwe Vijijini (Kwa Marehemu Maji Marefu) kuwa wapinzani kama vyama 5 kwa masaa yasiyopungua 5 walishindwa kurudisha fomu zao kwa kuwa hawakujua fomu wapeleke wapi na wampe nani wakati walijua pakuzichukua.
Kwa kauli hii ina maana wanajua mchezo ambao huwa unachezwa zidi ya wapinzani huko. Shenzi kabisa.
Huku TAKUKURU wakiangalia tu daaaah kweli taasisi hakuna kitu ileKweli kabisaa dada alifanyiwa kitu kibaya sana , alafu huyu bwanamdogo Mzava wa kijanai aliepitaga bila kupinga alichofanya kura za maoni ni hatari , zaidi ya mil 60 imetumika kuwaonga wajumbe.
Kwanza aliwapiga smartphone wote wajumbe , baadae akawagonga lakimoja na msosi juu, jamaa katumia gharanma kubwa sana na tutashangaa Magu akimpitisha