Uchaguzi 2020 NEC: Ni marufuku Wasimamizi wa Uchaguzi kufunga ofisi siku za kurudisha fomu na siku za uteuzi

Uchaguzi 2020 NEC: Ni marufuku Wasimamizi wa Uchaguzi kufunga ofisi siku za kurudisha fomu na siku za uteuzi

Ww kama mwenyekiti wa NEC, sheria imekupa mamlaka ya kumuadhibu? Nilitegemea utawaambia musije kulaumiana.!
 
Ni aibu kusema haya leo. Kilichofanyika kwenye chaguzi ndogo Korogwe na sehemu nyingine nchini kinajulikana. NEC imejishushia heshima kwa jamii na matamko haya ni uthibitisho kilichofanyika walikijua na kukikubali.
Wananchi inatakiwa waandaliwe chinichini, DED akifunga ofisi abanwe mtaani aishi kwa hofu! Polisi wakiingilia nao wabanwe mtaani waishi kwa hofu!
 
Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia wagombea na wadau wa vyama vya siasa.
Kwahio wale ambao walifanyiwa zengwe last season tufanyeje?? Namkumbuka Dada yangu Saguti aliyegombea Korogwe
 
Kwahio wale ambao walifanyiwa zengwe last season tufanyeje?? Namkumbuka Dada yangu Saguti aliyegombea Korogwe
Kweli kabisaa dada alifanyiwa kitu kibaya sana , alafu huyu bwanamdogo Mzava wa kijanai aliepitaga bila kupinga alichofanya kura za maoni ni hatari , zaidi ya mil 60 imetumika kuwaonga wajumbe.

Kwanza aliwapiga smartphone wote wajumbe , baadae akawagonga lakimoja na msosi juu, jamaa katumia gharanma kubwa sana na tutashangaa Magu akimpitisha
 
Ni aibu kusema haya leo. Kilichofanyika kwenye chaguzi ndogo Korogwe na sehemu nyingine nchini kinajulikana. NEC imejishushia heshima kwa jamii na matamko haya ni uthibitisho kilichofanyika walikijua na kukikubali.
Tafadhali, elimu haina mwisho, kajifunze kidogo, NEC haisimamii uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Tatizo ni kwamba NEC siyo mamlaka ya uteuzi. Hivi aliowateua akisema wafunge ofisi NEC
itafanya nini kwa mfano?
Shida ipo hapo , naona tatizo kubwa ni nani awajibike kwa nani
DED hawezi wajibika kwa tume ni kujidanganya kwwmba nec inaweza fanya lolote dhidi ya Mamlaka za kiutawala
 
Kweli kabisaa dada alifanyiwa kitu kibaya sana , alafu huyu bwanamdogo Mzava wa kijanai aliepitaga bila kupinga alichofanya kura za maoni ni hatari , zaidi ya mil 60 imetumika kuwaonga wajumbe. Kwanza aliwapiga smartphone wote wajumbe , baadae akawagonga lakimoja na msosi juu, jamaa katumia gharanma kubwa sana na tutashangaa Magu akimpitisha
CCM ni wapenzi wa rushwa sana! Ukiwakuta wanakemea rushwa utadhani ni malaika.
 
Muhimu wapinzani nao waache kurudisha fomu siku ya mwisho, Siku ya mwisho ndio figisu hua zinafanyika
 
Hawa ndio walituaminisha kule Korogwe Vijijini (Kwa Marehemu Maji Marefu) kuwa wapinzani kama vyama 5 kwa masaa yasiyopungua 5 walishindwa kurudisha fomu zao kwa kuwa hawakujua fomu wapeleke wapi na wampe nani wakati walijua pakuzichukua.

Kwa kauli hii ina maana wanajua mchezo ambao huwa unachezwa zidi ya wapinzani huko. Shenzi kabisa.
Wanatuona mazuzu,dharau kwa wagombea wa upinzani.Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi inahamishwaje?Mhusika akashindishwa uchaguzi,akwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano kiharamia.
CCM Mpya akili zao wanazifahamu wenyewe.
 
Kweli kabisaa dada alifanyiwa kitu kibaya sana , alafu huyu bwanamdogo Mzava wa kijanai aliepitaga bila kupinga alichofanya kura za maoni ni hatari , zaidi ya mil 60 imetumika kuwaonga wajumbe.

Kwanza aliwapiga smartphone wote wajumbe , baadae akawagonga lakimoja na msosi juu, jamaa katumia gharanma kubwa sana na tutashangaa Magu akimpitisha
Huku TAKUKURU wakiangalia tu daaaah kweli taasisi hakuna kitu ile
 
Back
Top Bottom