Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kama unashinda Jf halafu bado tweet za kutengenezwa lumumba huzijui basi ni bora uondoke tuKwanini mwenyekiti wa kamati kuu Freeman Mbowe aliwapongeza akina Mdee kwa kuteuliwa na kuwataka wakale kiapo bungeni?
Kwenye profile yake kaandika expert from Jamaica.Hata hueleweki nafikiri utakuwa umevuta bhangi mkuu!
Mahera na jobu hawana tofauti na dadapoa wa the great hapo barakudaNEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Kama hawakuapa kwa hakimu walikwendaje kuapa bungeni? Nyumbu unafikiri kutumia Nini?Majna yanawasilishwa kwa fomu , si barua. Kuna fomu zinajazwa, wanaapa, hakimu anasaini etc.... stupid Mahela
Malalamiko FC...Hata kama umenyofolewa ubongo basi hata kupapasa huwezi ? hivi Unajua kwamba Nusrat alitolewa gerezani tarehe 23 usiku na Mdee akishirikiana na mfumo ? ni wapi katibu mkuu wa Chadema alimsainisha fomu Nusrat aliyewekwa selo tangu july 2020 ? halafu hata kama kichwani umewekwa udongo tangu lini ccm na Ndugai wakawa watetezi wa wabunge wa Chadema ?
Wafungue kesi kwa mahakama ipi ambayo itatenda haki? hivi CHADEMA wateue mbunge wa viti maalum akatolewe gerezani usiku wa manane kuja kuapisha tena anashitakiwa na jamhuri?
Ulitaka walishilughulikie vipi?
CDM kama ndio wamefanya hivyo,watakuwa wana nguvu kubwa sana na ya pekee. Yaani mpaka mtu anafutiwa kesi usiku bila taratibu kufuatwa!!Uteuzi tarehe 19.11.2020...Mteuliwa mmoja bado yuko mahabusu...lakini Chadema hawajali wanapeleka jina lake.
Then siku moja kabla ya kuapishwa DPP anaondoa mashtaka usiku. Halafu siku ya pili anaapishwa....
Sijui connection ikoje hapa?
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Kwa mahakama zipi? Hizi hizi za muhimili mmoja?Hakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.
CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.
Ulitaka waambatanishe na barua ya Mnyika? Si uende NEC kama unataka kuhakiki mkuu?
Wewe unamwamini huyo baradhuli wa Tume? Kama waliweza kugushi kura, watashindwa nini?Haya sasa wanasaccos mnasemaje??
Atoe hiyo barua tuione nani kasaini. Barua hiyo iambatane na forms kama taratibu zinavyotaka. Ubishi uishe.NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Msome vizuri. Ana maana alitegemea tume iseme ilipokea forms ikibidi ingeongeza tu kusema forms zilizoambatana na barua, hiyo tarehe 19/12/2020. Ndiyo maana anasisitiza kwamba majina yanapelekwa yakiwa yamejazwa kwenye forms. Tena kila mmoja kwa form yake. Ikiwa na maana wabunge 19 ni forms 19 zilipokelewa na tume kutoka CHADEMA. Barua inakua ni kitu cha ku support tu.Umesoma vizuri barua ya NEC hapo juu? Au umeanza kuchangia bila kusoma barua ya NEC? Wanasema walipokea barua tarehe 19/11/2020.