Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.

Ukiona chombo kikubwa kama NEC kimefikia hatua ya kugushi barua ujuwe hii nchi sasa imeshakuwa banana republican ni hatari sana kwa mustakabali wa hili taifa la TANZANIA kama watumishi walioteuliwa na kuapa kwa kushika vitabu vitakatifu wanagushi hadi barua ili kumfurahisha mteuzi wao hapo taifa limeangamia kabisa
 
Tatizo lenu chadema mnaongea vitu bila kujua,

Sasa ngoja nikwambie, kila mbunge alipigiwa simu awe dodoma na akaenda kwa gharama zake

Siku ya jmosi walikutana ilazo mashineni kwa mbunge mmoja simjui Jina lake hapo ndio wakaambiwa ishu ya ubunge na wakapewa form kutoka nec

Hakuna tiss wala tass Aliehusika kusafirisha Hao waheshemiwa

Au unataka nikupe picha uone Mpaka wakati wako kisasa?
 
Wafungue kesi kwa mahakama ipi ambayo itatenda haki? hivi CHADEMA wateue mbunge wa viti maalum akatolewe gerezani usiku wa manane kuja kuapisha tena anashitakiwa na jamhuri?
Hivi mbona huyu Mahela ameshindwa kujiongeza kweli? Hata haihitaji kwenda shule ndiyo ujue huu uchafuzi.
 
Kilaza tuu! Form zilipaswa zijaziwe Dodoma au wazipate kutoka NEC?
 
Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Kweli nimeshaanza kuwaamini CDM 100% kwenye hili,Tume wanasema CDM walipeleka majina tarehe 19 wakati huo huo kupitia chombo kimoja cha habari siku iliyofuata yaani tarehe 20 tume ilikana kupokea majina kutoka CDM.Hapa tume inawalakini.
 
Tume ilikana tarehe 20/11/2020 kupokea majina ya viti maalum kutoka chadema.Mahera ni muongo halafu hana kumbukumbu!
 
Hamna lolote hizo tilioni mbili mtazisikia , kwa upuuzi wenu huu Kuna mfadhili wa kutoa hela saahizi kwa haya yanayoendelea .
Kasome bajeti ya 2020/21 uone kama tunategwmea wafadhali kiasi hicho unachodhani. Bajeti ya Reccurrent tunajitegemea kwa 100%. Bajeti ya maendeleo ndio wafadhili huchangia kidogo sana suna figure hapa lakini ni chini ya 25%. Hivyo hata wakisusa tutasonga mbele tena kwa kasi.
 
Hahaha NEC wangeonyesha copy ya barua waliyopokea kutoka kwa katibu mkuu, huo ni uongo ambao hata wao wanafahamu ni uongo.

Wanalazimisha umma uamini uongo huo.

Chadema fukuza COVID-19 hao.
 
Hahaha NEC wangeonyesha copy ya barua waliyopokea kutoka kwa katibu mkuu, huo ni uongo ambao hata wao wanafahamu ni uongo.

Wanalazimisha umma uamini uongo huo.

Chadema fukuza COVID-19 hao.
Umeshikiwa bunduki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…