Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
ugoro wa mahera hata mtoto wa chekechea hawezi kuamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Serikali ina macho bwashee!kama unashinda Jf halafu bado tweet za kutengenezwa lumumba huzijui basi ni bora uondoke tu
Wewe unamwamini Mnyika?ugoro wa mahera hata mtoto wa chekechea hawezi kuamini.
Mahera ndiyo amezidi kuwachoresha CCM zaidi 🤣 🤣 🤣Wewe unamwamini Mnyika?
Tatizo lenu chadema mnaongea vitu bila kujua,Sasa unataka tuwaamini hao wezi wa kura wasio hata na aibu hao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini taarifa ya kutoka kwenye hilo genge la wezi wa kura wasitupotezee muda na hizo farm walipopelekewa walijiuliza mtu aliye mahabusu aliwezaje kuapa mbele ya hakimu.
Wanadhania watanzania ni wajinga hivo tangu lini TISS ndo isafirishe watu kwenda kuapa hii nchi ni ya aibu sana ati wanalipwa kodi yetu kwa kufanya hayo mambo ya hovyo wanayofanya hata aibu hawana sisi wananchi tunawaangaliaa tunashangaa hivi wanatuonane
Hivi mbona huyu Mahela ameshindwa kujiongeza kweli? Hata haihitaji kwenda shule ndiyo ujue huu uchafuzi.Wafungue kesi kwa mahakama ipi ambayo itatenda haki? hivi CHADEMA wateue mbunge wa viti maalum akatolewe gerezani usiku wa manane kuja kuapisha tena anashitakiwa na jamhuri?
Kilaza tuu! Form zilipaswa zijaziwe Dodoma au wazipate kutoka NEC?Tatizo lenu chadema mnaongea vitu bila kujua,
Sasa ngoja nikwambie, kila mbunge alipigiwa simu awe dodoma na akaenda kwa gharama zake
Siku ya jmosi walikutana ilazo mashineni kwa mbunge mmoja simjui Jina lake hapo ndio wakaambiwa ishu ya ubunge na wakapewa form kutoka nec
Hakuna tiss wala tass Aliehusika kusafirisha Hao waheshemiwa
Au unataka nikupe picha uone Mpaka wakati wako kisasa?
Kweli nimeshaanza kuwaamini CDM 100% kwenye hili,Tume wanasema CDM walipeleka majina tarehe 19 wakati huo huo kupitia chombo kimoja cha habari siku iliyofuata yaani tarehe 20 tume ilikana kupokea majina kutoka CDM.Hapa tume inawalakini.Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Hili jamaa limetuharibia nchi
Tume ilikana tarehe 20/11/2020 kupokea majina ya viti maalum kutoka chadema.Mahera ni muongo halafu hana kumbukumbu!Kweli nimeshaanza kuwaamini CDM 100% kwenye hili,Tume wanasema CDM walipeleka majina tarehe 19 wakati huo huo kupitia chombo kimoja cha habari siku iliyofuata yaani tarehe 20 tume ilikana kupokea majina kutoka CDM.Hapa tume inawalakini.
Kasome bajeti ya 2020/21 uone kama tunategwmea wafadhali kiasi hicho unachodhani. Bajeti ya Reccurrent tunajitegemea kwa 100%. Bajeti ya maendeleo ndio wafadhili huchangia kidogo sana suna figure hapa lakini ni chini ya 25%. Hivyo hata wakisusa tutasonga mbele tena kwa kasi.Hamna lolote hizo tilioni mbili mtazisikia , kwa upuuzi wenu huu Kuna mfadhili wa kutoa hela saahizi kwa haya yanayoendelea .
Umeshikiwa bunduki uamini? Kutokuamini kwako wewe kuna athiri vipi mipango iliyopo Kati ya CHADEMA na NEC?Wache waweke hiyo barua wanayosema. Kama barua wamepokea na waiweke wananchi waone na wajue ni nani anasema uongo hapa. Otherwise hatutoamini wanachokisema NEC.
Umeshikiwa bunduki?Hahaha NEC wangeonyesha copy ya barua waliyopokea kutoka kwa katibu mkuu, huo ni uongo ambao hata wao wanafahamu ni uongo.
Wanalazimisha umma uamini uongo huo.
Chadema fukuza COVID-19 hao.
Wewe ndio Hilda Newton?Tume ilikana tarehe 20/11/2020 kupokea majina ya viti maalum kutoka chadema.Mahera ni muongo halafu hana kumbukumbu!View attachment 1635974
Naomba tuwekee na hiyo barua ya Chadema tulinganishe maana akili tunazo.NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.