Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Majna yanawasilishwa kwa fomu , si barua. Kuna fomu zinajazwa, wanaapa, hakimu anasaini etc.... stupid Mahela
Kwa hiyo barua iliandikwa lakini ilibidi wasubiri kwanza fomu, au?
 
Nadhani labda utupe utaratibu wa huyu wa kutoka gerezani Singida alifikaje Dodoma? (ukiachilia mbali mchakato wa kutolewa, maana hilo najua hutoweza kutoa majibu). Labda huyo ndiye anasemwa kusafirishwa na TISS kwenda Dodoma kuapa.
Muulize yote hayo Mbowe alihatjwa wazi eazi na Halima
 
ni pale shughuli za serikali zinapokuwa zimehitimishwa kama inavyotaka

Jibu swali

Mahakama zetu huendesha kesi mpaka saa ngapi? Ili hawa wawepo kukidhi matakwa ya kisher

A) wazee wa mahakama

B) wahudumu wa mahakama

C) wapende wa pili wa mtuhumiwa
 
Nchi yetu sijui imekuwaje kwa kwel. Tunamwachia Mungu atuvushe salama.
 
Kwa hiyo mnyika ndo alipeleka na jina la hiyo aliyekuwa mahabusu? Kazi kwel
 
Back
Top Bottom