Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Huyo katibu Mkuu aliyeandika hiyo barua kwanini hatajwi? Imesainiwa na katibu mkuu gani? Huyu huyu John Mnyika?

Itakuwa ni ajabu sana kuwa Katibu Mkuu John Mnyika aandike barua NEC ikiwa imeambatanishwa na orodha ya majina ya hawa wanawake kisha huyo huyo tena atoke mbele ya vyombo vya habari na kukana kuandika barua na kuipeleka huko huku dunia nzima ikiona na kusikia...

On the other hand, wala hakuna anayesema wao ni malaika na kwamba hawatendi dhambi na kwamba hawajaribiwi na tamaa ya dhambi...

Kinachotakiwa uchunguzi ufanyike ikiwa kuna hatia ya kughushi ama kweli wameandika lakini wanakana tu...

Yote yanawezekana. Lakini lililo wazi na rahisi kufanyika ni dola kutumia mbinu zake zote ovu kulifanikisha hili...
 
Mbinu za kishamba kweli , fojali mbovu , mipango mibovu , mbinu mbovu , maelezo mabovu mpaka aibu ! Kisa Dona kantri inatafuta tilioni mbili za wafadhili kwa udi na uvumba .
 
Tunafanya songombingo na somasoti zote hizi ili kuwapumbaza mabeberu watupatie misaada ...hasa hasa zile Trillion 2 baada ya kuunda kambi rasmi ya upinzani Bungeni..

Leo hii Halima wa kupata air time kwenye TBC1 na gazeti la Uhuru front page kweli???

Sasa najiuliza hivi hawa mabeberu ni wajinga kiasi hiki...yaani hawajui kinachoendelea?

Muda mwingine watanzania tujifunze walau kidogo kufuata taratibu tulizojiwekea mwenye katiba na sheria zetu.

Hawa mabeberu wanazidi kutushangaa!!
 
Mnyika alishakanusha. Kama kweli amehusika na NEC hawataki kumexpose then we have a problem as a country.

Kwa serikali ambayo inajipambanua kuwa haina corruption wakati Kila kinschoendelea kwa Sasa kina Kila viashiria vya rushwa na uvunjaji wa sheria za nchi na katiba hiyo inatia wasiwasi of what really goes on behind the scenes. Kama kitu kama hiki kinatokea na kupata Baraka zote za vyombo vya dollar what else ambacho hatuambiwi au hatujakijua. Very possible Mnyika naye anawekwa sawa na negotiators.
 
Jibu swali

Mahakama zetu huendesha kesi mpaka saa ngapi? Ili hawa wawepo kukidhi matakwa ya kisher

A) wazee wa mahakama

B) wahudumu wa mahakama

C) wapende wa pili wa mtuhumiwa
Mahakama inaweza kuendeshwa hata usiku mkuu hukumbuki kesi za Lissu na akina Mbowe zilikuwa zinaendeshwa hadi saa nne usiku mkuu?
 
Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.

Hili liko wazi sana...

Ukisoma ufafanuzi wake, unashangaa hamsemi kwa jina huyo katibu mkuu...

Barua nyeti na muhimu kama hizi huwa ni lazima zaidi ya mwandishi kutaja cheo chake, ni lazima aandike na jina lake na kuweka saini yake...

Hili lilifanyika? Na kama barua iliandikwa "kwa niaba ya katibu mkuu", ni nani huyo aliyejivisha kofia ya ukatibu mkuu kutenda jukumu lisilo lake?

Mahera akamalishe ufafanuzi wake kwa kujibu maswali hayo...
 
Yote hii hutaki kumgusa Mbowe, Mbowe ndo criminal hapa, ...

How?

Sheria inataka katibu mkuu ndiye awasilishe majina teuliwa kwa NEC..

Sasa Mbowe Mwenyekiti atakuwaje Criminal hapa? Labda MNA Mbowe mwingine huko NEC...
 
Tupo tunao muombea usilazimishe ufanane na kila mtu
Haishangazi hata walozi kabla ya kuroga hudai wanamuomba mungu kuroga wenzao.
Hila haichangamani na Mungu hata iweje nyie endeleeni kujidanvanya.
 
Jibu swali

Mahakama zetu huendesha kesi mpaka saa ngapi? Ili hawa wawepo kukidhi matakwa ya kisher

A) wazee wa mahakama

B) wahudumu wa mahakama

C) wapende wa pili wa mtuhumiwa
Swali lako limeshapitwa na wakati
 
Mahakama inaweza kuendeshwa hata usiku mkuu hukumbuki kesi za Lissu na akina Mbowe zilikuwa zinaendeshwa hadi saa nne usiku mkuu?

Unaelewa unachokiongea?

Neno time extension unaelewa vizuri?

Au court starts unaelewa vizuri?

Je extension nisawa na starts in this context?
 
Unaelewa unachokiongea?

Neno time extension unaelewa vizuri?

Au court starts unaelewa vizuri?

Je extension nisawa na starts in this context?
Acha ngonjera Mahakama inaweza kufanyakazi hata baada ya saa za kawaida. Kwa mfano kutoa removal au remand orders inaweza kutolewa hata baada ya saa za kawaida za kazi. Fullstop!
 
Majna yanawasilishwa kwa fomu , si barua. Kuna fomu zinajazwa, wanaapa, hakimu anasaini etc.... stupid Mahela
Kwa hiyo wewe wa mtaanibpale ufipa unajua zaidi ya NEC wenyewe?
hovyo sana nyie, mshapigwa chenga ya mwili hapo...
 
Acha ngonjera Mahakama inaweza kufanyakazi hata baada ya saa za kawaida. Kwa mfano kutoa removal au remand orders inaweza kutolewa hata baada ya saa za kawaida za kazi. Fullstop!

Umeelewa hii hoja?

adolay said:
Jibu swali

Mahakama zetu huendesha kesi mpaka saa ngapi? Ili hawa wawepo kukidhi matakwa ya kisher

A) wazee wa mahakama

B) wahudumu wa mahakama

C) wapende wa pili wa mtuhumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…