Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Bonge la swaliOk ok, kwa hiyo chadema ikawasilisha jina la aliyekuwa mahabusu?
Eeh waliapa kwa hakimu?
Ushahidi please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la swaliOk ok, kwa hiyo chadema ikawasilisha jina la aliyekuwa mahabusu?
Eeh waliapa kwa hakimu?
Ushahidi please.
Ajabu.Wasirudie kosa la kuiba kura zote 2025 angalau unaacha hata kidogo wapinzani robo ili kuepusha kadhia na aibu hii ya kupata viti maalumuNEC,AG na Bunge ni vituko vya karne!Hii ni aibu kubwa sana!
Mmefikia hatua ya kuvipangia vyama vya siasa vya upinzani wabunge wa viti maalumu?
Ushindi wa kishindo umegeuka shubiri!Ajabu.Wasirudie kosa la kuiba kura zote 2025 angalau unaacha hata kidogo wapinzani robo ili kuepusha kadhia na aibu hii ya kupata viti maalumu
Wizi bila akiliUshindi wa kishindo umegeuka shubiri!
Waweke majina na barua waliyoandikiwa na chadema.hii tume ni kitukoUmesoma vizuri barua ya NEC hapo juu? Au umeanza kuchangia bila kusoma barua ya NEC? Wanasema walipokea barua tarehe 19/11/2020.
Shida iko TUME au CHADEMA ?Hayo majina yako wapi? Duh hii tume ni shida..
Bila Ushirikiano kutoka CHADEMA hili lisingefanikiwa usisahau tatizo halisi kwa kutafuta wa kumlaumuThe perfect meaning of Hooligan government!
Wewe ndo Mahera?Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Huo ni waraka kutoka kutoka CCM kuhalalisha haram.NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Nani wa kumtoa mfungwa gerezani akale kiapo?....hiyo ni kazi ya CCM na dola yake wakajitwalia wengine 19.Bila Ushirikiano kutoka CHADEMA hili lisingefanikiwa usisahau tatizo halisi kwa kutafuta wa kumlaumu
Hivi, machadema kwanini wanaamini sana viongozi wao?
Mawe yamevurumishwa batini hatimaye wenye nyumba wameamua wajitokeze nje