Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Hakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.

CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.

Unataka tufungue case kwenye mahakama za ccm ? Huo utakuwa ni upuuzi sana
 
Inawezekana ilipokelewa tarehe 19/11/2020 lakini ilikuwa haijawafikia wakubwa ilikuwa bado iko kwa junior staff!
nemc.jpg

Hizo sehemu mbili nilizo zungushia duara zinafuta hiyo assumption yako. yeye alisema kufikia muda huo tarehe 20/11/2020 hawakuwa wamepokea majina kutoka chadema na alilisema hivyo tarehe 20/11/2020. Kwenye barua anasema walipokea tarehe 19/11/2020.

Assumption yako haiwezi kuapply maana pia kwenye barua bado anazidi kujichanganya kwa kusema 20/11/2020 tume ilikaa kuteua wabunge na madiwani (kumbuka hii tarehe 20/11/2020 ndiyo hii hii tarehe aliyokanusha kuwa hawajapokea majina then hapa anasema tume ilikaa).

Hapa NEC ni wazi wanacheza mchezo
 
Kwani hao kumi na tisa ni wanachama wa CCM?
Kwani mtu hawezi kutoka chadema na kwenda kuapa kuwa viti maalum bila ya kushirikisha chama chake cha chadema ikiwa mamlaka za serekali pamoja na bunge wana maslahi nae?
 
Safisha kundu lako , papuchi na domo lako Hilo ndio uje kuandika utumbo kuhusu Chadema .
Malaya wahed wewe
Mtu hunena ya ujazayo moyo wake. Hapa tu umeonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
 
View attachment 1636551
Hizo sehemu mbili nilizo zungushia duara zinafuta hiyo assumption yako. yeye alisema kufikia muda huo tarehe 20/11/2020 hawakuwa wamepokea majina kutoka chadema na alilisema hivyo tarehe 20/11/2020. Kwenye barua anasema walipokea tarehe 19/11/2020. Assumption yako haiwezi kuapply maana pia kwenye barua bado anazidi kujichanganya kwa kusema 20/11/2020 tume ilikaa kuteua wabunge na madiwani (kumbuka hii tarehe 20/11/2020 ndiyo hii hii tarehe aliyokanusha kuwa hawajapokea majina then hapa anasema tume ilikaa).

Hapa NEC ni wazi wanacheza mchezo
ukifuatilia kwa makini hata viongozi wa chadema wanahusika maana hamna aliyekanusha....!
 
ukifuatilia kwa makini hata viongozi wa chadema wanahusika maana hamna aliyekanusha....!
Ila NEC wameonyesha usanii kwanza tukubaliane hilo kauli zao zinajichanganya na uzuri kuna ushahidi
 
916D544A-6014-4B36-AFB6-1249F433578B.jpeg


CHADEMA acheni michezo ya kitoto hizo game zenu hazina akili hata kidogo. Kumbe barua na majina mliandika na mkapeleka.

Unafiki ndio pepo kuu linalo litafuna CHADEMA na mnapo elekea mnasambaratika kweli kweli. Mbowe mnafiki John mnyika mnafiki na kamati kuu chadema ni wanafiki. Wanajuwa kila kinacho endelea ndani ya yao.
 
View attachment 1637006
Chadema acheni michezo ya kitoto hizo game zenu hazina akili hata kidogo. Kumbe baruwa na majina mliandika na mkapeleka.

Unafiki ndio pepo kuu linalo litafuna chadema na mnapo elekea mnasambaratika kweli kweli. Mbowe mnafiki John mnyika mnafiki na kamati kuu chadema ni wanafiki. Wanajuwa kila kinacho endelea ndani ya sacoss yao.
Huyu akiongea tarehe 20/11/2020 alisema hawajapokea majina toka chadema. Halafu jana anakuja na kauli hii ya kupinga alichoongea tarehe ishirini nani ana michezo ya kitoto.
Tazama mwenyewe halafu urudi hapa useme kati ya chadema na NEC nani ana michezo ya kitoto. Huu ni ushahidi wa video kabisa
 
Hizi sakarasi mnazofanya mabeberu wanaziona na ule mashiko unaowahangaisha hamuupati n’go!
 
Umeshikiwa bunduki uamini? Kutokuamini kwako wewe kuna athiri vipi mipango iliyopo Kati ya CHADEMA na NEC?
Vipi wewe ni unavuta bangi nini? hapa watu wanajadiliana na kila mmoja ana uhuru wa kusema anachotaka. Upumbavu wako wa kuleta comments za kijinga usinielekezee mimi. Hunijui sikujui. Endelea kuvuta bangi na kuwa mtu usoweza kutumia akili yako.
 
View attachment 1637006
Chadema acheni michezo ya kitoto hizo game zenu hazina akili hata kidogo. Kumbe baruwa na majina mliandika na mkapeleka.

Unafiki ndio pepo kuu linalo litafuna chadema na mnapo elekea mnasambaratika kweli kweli. Mbowe mnafiki John mnyika mnafiki na kamati kuu chadema ni wanafiki. Wanajuwa kila kinacho endelea ndani ya sacoss yao.
Nakusikitikia, kwanini usikae kimya tu?
Moderator, Mhariri, JamiiForums unganisheni uzi huu na ule uzi mkuu wa Mahera, contents zinajirudia
 
Back
Top Bottom