LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Uhuru UPI? Kama rais aliyepo madarakani aweza mwondoa mwenyekiti Wa tume hata kesho kuna uchaguzi kesho kutwa? Uliwahi sikia wapi simba Na yanga wanacheza, kisha refa anateuliwa Na yanga?
Kama CCM akipendwi na wananchi Kwa mujibu wako je chama kipi kingine kinapendwa na kinastahili kuchukua madaraka?
Ni kukosa akili hakuna jibu jingine.sijui ni ukosefu wa akili au maksudi........ mtu timamu unawezaje kusema hii tume ni huru?
tumbo ni kitu kibaya sana!
Ili uchaguzi uwe huru na wa haki unataka uweje? Tanzania Ina watu karibia 55m research ipi uliyofanya ukagundua CCM akishindi kwa haki je hiko chama kinachoshinda badala ya CCM ni kipi alafu madaraka anapewa CCM?Ufanyike Uchaguzi Huru,halali na haki ndipo utafahamu ni chama gani Watanzania wanakipenda.Ila kwa CCM kutopendwa,hili linafahamika hata na watoto wa shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana huyu naye hajui maana ya tume huru ya uchaguzi?Wengine wanadhani tume huru pale chama chake kitaposhinda uchaguzi.
CCM siyo chama halali. Nikiingia madarakani naanza kuifuta kisha nawafungulia mashtaka ya uhujumu uchumi viongozi wote na wale waliowahi kuwa viongozi wa CCM.Ili uchaguzi uwe huru na wa haki unataka uweje? Tanzania Ina watu karibia 55m research ipi uliyofanya ukagundua CCM akishindi kwa haki je hiko chama kinachoshinda badala ya CCM ni kipi alafu madaraka anapewa CCM?
Mkuu kuna watu wa ajabu sana,Tume hiyo ni ya mfumo wa chama kimoja ,Tanzania ina vyama vingi mtu anasimama etisijui ni ukosefu wa akili au maksudi........ mtu timamu unawezaje kusema hii tume ni huru?
tumbo ni kitu kibaya sana!
Nimekuteua mimi,nimekupa nyumba ya serikali unakaa bure,nakuwekea mafuta bure kwenye gari halafu umtangazie ushindi mpinzani. .. .
tuendelee tu kudanganywa kama watoto...
watu weusi in waajabu sana,tumetaliwa na ubishi ubishi,mwenyekiti na wajumbe watume wanateuliwa na Rais ambaye ndio mwenyekiti wa ccm na ndiye mgombea wa ccm ,sasa hii itakuwa time huru,kwa akili za namna hii tutapata maendeleo kweli,tutajenga viwanda kwa akili zinazovuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Dharau tu Mkuu!Mtanzania yeyite mwenye ajili timamu anafahamu fika kuwa NEC siyo chombo huru kwa sababu ya kuundwa na Mwenye CCM na anateua makada wakereketwa kuwa viongozi wa NEC.Wanaopigania kuwa NEC ni Huru ni hao hao CCM, sijui wanatuona kuwa hatuelewi au ni dharau na ubabe?
Sent using Jamii Forums mobile app