NEC: Tume ya Uchaguzi iliyo ipo huru kwa mujibu wa Sheria

Uhuru UPI? Kama rais aliyepo madarakani aweza mwondoa mwenyekiti Wa tume hata kesho kuna uchaguzi kesho kutwa? Uliwahi sikia wapi simba Na yanga wanacheza, kisha refa anateuliwa Na yanga?
 
Hamna jipya hapo endapo waangalizi wakimataifa wasipo kuwa makini kuhusu tume huru yetu inavyo simamiwa na walio teuliwa na ccm harafu waje watangaze upinzani ushindi NEVER EVER HAPPEN UNDER THIS WORLD
 
Ufanyike Uchaguzi Huru,halali na haki ndipo utafahamu ni chama gani Watanzania wanakipenda.Ila kwa CCM kutopendwa,hili linafahamika hata na watoto wa shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili uchaguzi uwe huru na wa haki unataka uweje? Tanzania Ina watu karibia 55m research ipi uliyofanya ukagundua CCM akishindi kwa haki je hiko chama kinachoshinda badala ya CCM ni kipi alafu madaraka anapewa CCM?
 
watu weusi in waajabu sana,tumetaliwa na ubishi ubishi,mwenyekiti na wajumbe watume wanateuliwa na Rais ambaye ndio mwenyekiti wa ccm na ndiye mgombea wa ccm ,sasa hii itakuwa time huru,kwa akili za namna hii tutapata maendeleo kweli,tutajenga viwanda kwa akili zinazovuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uchaguzi uwe huru na wa haki unataka uweje? Tanzania Ina watu karibia 55m research ipi uliyofanya ukagundua CCM akishindi kwa haki je hiko chama kinachoshinda badala ya CCM ni kipi alafu madaraka anapewa CCM?
CCM siyo chama halali. Nikiingia madarakani naanza kuifuta kisha nawafungulia mashtaka ya uhujumu uchumi viongozi wote na wale waliowahi kuwa viongozi wa CCM.
 
sijui ni ukosefu wa akili au maksudi........ mtu timamu unawezaje kusema hii tume ni huru?

tumbo ni kitu kibaya sana!
Mkuu kuna watu wa ajabu sana,Tume hiyo ni ya mfumo wa chama kimoja ,Tanzania ina vyama vingi mtu anasimama eti
Tume ni huru wakati watendaji wote ni chama kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuteua mimi,nimekupa nyumba ya serikali unakaa bure,nakuwekea mafuta bure kwenye gari halafu umtangazie ushindi mpinzani. .. .

tuendelee tu kudanganywa kama watoto...

ivi mtu atasema hivi alafu atatengeneza tume huru ? jamaa wanajisahau sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Aisee kuna mpuuz mmoja anaweza kuja kubisha alafu haweki hoja anaandika matusi, aisee ndio mana siwapend wanasiasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni Dharau tu Mkuu!
 
"Dk. Mahera alisema pamoja na kwamba yeye hahusiki na hilo, lakini NEC imekuwa ikifanya kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni pasipo kuingiliwa."
 

Attachments

  • Screenshot_20250629_092801_Threads (1).jpg
    814.9 KB · Views: 13
Kama ile tume iliyoiba kura na kuisaidia CCM kushinda kwa njia zote za hila 2020 iliitwa tume huru je hii ya sasa itaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…