NEC yabadili majina ya majimbo matatu na kutangaza tarehe za kuchukua fomu

NEC yabadili majina ya majimbo matatu na kutangaza tarehe za kuchukua fomu

Hii nchi ni majanga tupu, hakuna uhuru wala haki kabisaaah.
 
MaCCM yasome alama za NYAKATI..
Wa tende haki kwa usawa, mtakua mna tulaumu tu kuwa tunafurahi mkifa.

MALOFA tunashangilia kibingwa kifo cha Sokwe mtu. Matendo yake yalikosa ubinadamu na utu mfano Zanzibar na Burundi.
 
Tusaidie hayo majimbo yaliyobadilshwa na sie wengine tujue.
 
Refa kaanza uwoga mapemaa wakati kwanza timu ndiyo zinapasha!!
 
kama mliendea kwa babu yale majina ya zamani inabidi mrudi tena.
 
Kwani wadau walifungwa midomo kutoa maoni?
 
Juzi imedhihirika kuwa tume ni ya CCM kwani mwenyekiti wa chama alikuwa akitoa maelekezo jinsi tume itakavyofanya kazi na jinsi na mahali pa kuchukulia fumu na kutangazia matokeo.
 
Well noted. Tunasubiri kipyenga, tumstaafishe Sugu hapa Mbeya (M). Tumechoka blah blah na maandamano

Kitu cha kwanza ni Mahakamani kuweka zuio TULIA asigombee kwa sababu alianza KAMPENI KABLA ya muda.

NEC wanajuwa hilo.

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA anajuwa hilo.

POLISI wanajuwa hilo,

walishuhudia hilo

na

Waliweka ulinzi kwenye mikutano yake.
 
Aidha majimbo yamebaki kuwa 264 kama ilivyokuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2019, Tanzania bara ikiwa na majimbo 214 na Tanzania Zanzibar ikiwa na majimbo 50
Mkuu Analogia Malenga, asante kwa taarifa.
Rekebisha huo mwaka usomeke 2015 na sio 2019!.
P
 
Back
Top Bottom