Upotishaji wa John Mnyika uko wapi?
Aliita vyombo vya habari kuelezea mapungufu ya NEC katika kufanya majukumu yao mbalimbali na tetesi mbalimbali zinazisambaa kuhusu watu wanaopewa kazi za uchaguzi na NEC
Na mwisho aliitaka NEC wajitokeze kuweka mambo clear juu ya tetesi za tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa NEC kutaka kuhujumu mchakato wa zoezi la uchaguzi kwa nia na lengo la kuisaidia CCM kushinda bila haki.
It's good kuwa NEC kupitia kwa mtendaji mkuu wao huyu wamejitokeza kutolea ufafanuzi baadhi ya tuhuma zilizoelekezwa kwao japo hawajajibu maswali yote yaliyoulizwa na CHADEMA.
Hili siyo tatizo kwa sababu, mwaka huu na uchaguzi huu ni LAZIMA KILA KITU KITAELEWEKA TU hata awe mkali namna gani. Mwaka huu na uchaguzi huu NI HAKI BIN HAKI hakuna ujanja ujanja wa kubebana!
Bahati mbaya tu ni kuwa, Dr Wilson Mahera anaonekana kuwa na napungufu mengi sana ktk utendaji wake kama mtu anayepaswa kuwa huru and unbiased simply because yeye ni kada kindakindaki wa CCM.
Hii hali yake ya "ukada wa CCM" itamponza na kumuweka pabaya sana yeye na familia yake kama hatajirekebisha.
Kiuhalisia, amewekwa hapo na mwenyekiti wa CCM kuangamizwa tu huku yeye kijinga kabisa akidhani ni "ulaji". Huyu alipaswa kuwa jukwaani kule akimnadi mgombea wa CCM kwenye kampeni.
Utendaji mkuu wa Tume ya Uchaguzi ameupata kimakosa!