NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

Haya Sasa TUME imeshamjibu huyo mpiga kelele za zabuni kumbe nae kashirikishwa katika huo mchakato halafu anataka kuja kucheza na akili za watanzania jambo ambalo kuanzia Jana lilipingwa na wengi kwa hiyo hii hoja ya hovyo imeshajifia kifo cha mende atafute kihoja kingine Cha hovyo aje nacho aone namna gani wenzie wa TUME walivyojipanga kujibu kwa takwimu na vifungu vya sheria lakini pia watanzania tuwaelewe hawa jamaa kuwa wameishiwa sera ndio maana wankuja na vihoja hivi. Mimi nauliza TUME kwani ni lazima mtu kufanya kampeni? Kama ni lazima muwaruhusu hawa wasio na sera za kunadi kwa wananchi wakae kimya Kama sio lazima si warudishe mpira kwa kipa yaishe!
pamoja yna kuitwa kwa barua kuhudhuria vikao vya kamati majamaa ayaendi ,yanamsubiria reporter wao Kigogo awape tango pori nao wanameza bila hata kuosha mwishowe ni kuvimbiwa tu
 
Chama cha bwana Mbowe ni waongo sana, na wala hawaoni haya kuongopa. (in Polepole' voice)
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Ndo mana nasema mwaka huu Chadema wana ma strategist ambao wana akili sana.

Sasa NEC wameshajifunga kuhusu nani na nani wanahusila na huu uchaguzi. Watu wako field wanakusanya maushahidi juu ya yanayoendelea kufanyika.

Lazima nyoka atolewe pangoni mwaka huu come sun come rain
 
Chama cha bwana Mbowe ni waongo sana, na wala hawaoni haya kuongopa. (in Polepole' voice)
Huwezi kuelewa mipango ya wenye akili mwaka huu. Tunajua Kuna karatasi za kura za ziada zinachapishwa. Sasa NEC wajiandae tu yajayo yatafurahisha zaidi!!
 
Mkuu umeona utata wa wazi kwenye hiyo barua. Hizo kampuni mbili kwanza kuna utata wa namba, tunaona kampuni namba 2 ya Kenya na 3 ya Dubai. Ukiachia utata wa hizo namba maana hakuna namba moja. Lakini hizo kampuni mbili za Kenya na Dubai zina uhusiano gani na Kampuni iliyoshinda zabuni ya Afrika Kusini?

Cdm wanapaswa kuibana tume ifaavyo maana ukweli unazidi kusogea karibu.
hapo si unaona kabisa karatasi imekata?kampuni namba moja ni hiyo kampuni ya Ren-Form ya Africa Kusini iliyoshinda zabuni hapo utata upo wapi?yaani nyie kilakitu ni kupinga tu
 
Mkuu umeona utata wa wazi kwenye hiyo barua. Hizo kampuni mbili kwanza kuna utata wa namba, tunaona kampuni namba 2 ya Kenya na 3 ya Dubai. Ukiachia utata wa hizo namba maana hakuna namba moja. Lakini hizo kampuni mbili za Kenya na Dubai zina uhusiano gani na Kampuni iliyoshinda zabuni ya Afrika Kusini?

Cdm wanapaswa kuibana tume ifaavyo maana ukweli unazidi kusogea karibu.
Hebu wakati mwingine busara ikutume usiwe na comment vitu kabla ya kujiridhisha. Unaona kabisa hiyo barua alieupload ameikata, So it's obviously namba 1 ilikua hiyo kampuni ya South Africa na hizo za kenya na Dubai ndo zikafuata.
 
Unakili sana mwandishi nataka danganya alafu ajafuzu uongo maana wameandika kampuni ya Dubai na Kenya uku tunaona afrika kusini swali kampuni gani inayosambaza vifaaa watuambie
Muwe mnasoma taarifa vizuri acheni kukurupuka nyie chadema kampuni zote 3 zimeonekana kwenye taarifa tatizo lenu mnatumia matumbo kufikiri
 
Huwezi kuelewa mipango ya wenye akili mwaka huu. Tunajua Kuna karatasi za kura za ziada zinachapishwa. Sasa NEC wajiandae tu yajayo yatafurahisha zaidi!!
yaani nyie aiseee nitatizo,nanyi nendeni JAMANA mkachapishe zenu
 
Ukikwowtwaona chadema wakitokwa mapovu humu unaweza kufikiri wana kitu cha maana kumbe vichwa vyao viko empty kabisa.

Yani siku w wana
 
Hebu wakati mwingine busara ikutume usiwe na comment vitu kabla ya kujiridhisha. Unaona kabisa hiyo barua alieupload ameikata, So it's obviously namba 1 ilikua hiyo kampuni ya South Africa na hizo za kenya na Dubai ndo zikafuata.
tatizo amejaa mahaba sana ,mambo mengine ni kutumia logic tu lakini wao wamekalia ubishi tu
 
Asante kwa ufafanuzi NEC Kuna watu wanaweweseka na tauari wameishajua wanaangukia pua.
 
Bwana Mnyika uje ujibu hizi tuhuma za upotoshaji juu yako , la sivyo utakigharimu chama chako

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Hawa Chadema hovyo...wanapewa chambo wananasa kiulaini..
Walipewa chambo kuwa JPM amekutana na wakurugenzi wa uchaguzi naye Tundu Lissu akanasa...Sasa huyu Mnyika naye amenasa.....tusubiri mnato wa tatu utakaoharibu kabisa image ya Chadema...
 
Hebu wakati mwingine busara ikutume usiwe na comment vitu kabla ya kujiridhisha. Unaona kabisa hiyo barua alieupload ameikata, So it's obviously namba 1 ilikua hiyo kampuni ya South Africa na hizo za kenya na Dubai ndo zikafuata.

Hii post yako ni namba 49, ungetazama nilichosema kwenye post namba 24
 
Haya maccm muongo ,
Mbona haileweki kampuni namba moja ilitoka wap?
Na tenda walitangaza wapi?
wacha kuongea bila ya kuwa na uhakika ndugu ngoja nikusaidie hyo namba moja ni ya Afrika Kusini,kuhusu tenda tembelea tovuti ya ppra kwenye Tender Portal au kwenye Tanzania Procurement Journal.usipende kulishwa matango pori ukafakamia tuu ,utavimbiwa
 
Ndo mana nasema mwaka huu Chadema wana ma strategist ambao wana akili sana.

Sasa NEC wameshajifunga kuhusu nani na nani wanahusila na huu uchaguzi. Watu wako field wanakusanya maushahidi juu ya yanayoendelea kufanyika.

Lazima nyoka atolewe pangoni mwaka huu come sun come rain
Ubaya mnajiona nyie ndo wenye mipango tuu nchi hii... Ameongea ujinga kajibiwa vyema tuu aje aseme ni uwongo hayo maelezo sio ww unakuja hapa unasifia tuu wanaume wenzako kuongea uninga na kujiona wajanjaa... Yani kwa watu wenye uwono wa mbali mnazidi kujiharibia tuu...
 
Jama
Mkuu umeona utata wa wazi kwenye hiyo barua. Hizo kampuni mbili kwanza kuna utata wa namba, tunaona kampuni namba 2 ya Kenya na 3 ya Dubai. Ukiachia utata wa hizo namba maana hakuna namba moja. Lakini hizo kampuni mbili za Kenya na Dubai zina uhusiano gani na Kampuni iliyoshinda zabuni ya Afrika Kusini?

Cdm wanapaswa kuibana tume ifaavyo maana ukweli unazidi kusogea karibu.
Soma vizuri tena 1,2 na 3 zote zipo
 
Mshana Jr uzi wako wa Jamana Printers unasimama wapi. Tukiweka siasa pembeni na kutazama kisomi umeelezewa taratibu zilivyofanyika sasa ndo sijui ni za ukweli au za magumashi ila suala la Jamana uliingia mkenge. Taarifa zenye ushahidi kama hizi ukianzisha uzi ilimradi unakamatika, hii ni tofauti na uchawi ambao hatuwezi prove ukweli au uongo.
Mi nadhani watu wa Manunuzi katika taasisi yeyote ambao wanadili na Serikali wanajua namna ya kuomba tenda na kufatilia Kama wameshinda au laa. Na Kama CDM wangekua na wataalam hao na wakawashirikisha Basi wasingekuja kulalama kuhusu hii kitu.
 
Back
Top Bottom