Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Bwana Mnyika uje ujibu hizi tuhuma za upotoshaji juu yako , la sivyo utakigharimu chama chakoMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Wewe na tindo hamjapakua hata hiyo document tiyari mshaanza kuikosoa. Kuna tofauti kati ya taarifa ilivyotolewa na ilivyowasilishwa. Aliyeileta ndiye kakata ile kampuni ya kwanza.
Soma hapaView attachment 1598030
Kiruga gani kama anaowahutubia wanakijua?Ameshindwa kukemea wanaccm wakati omega Kisukuma kwenye kampeni ni aibu tupu
Yamelaaniwa ndiyo maana ni muhimu kuyaangamiza kabisa yapotee haya mazandiki mahuni na vibaraka wa wazungu, tena tunawasubiri baada ya uchaguzi washenzi wahuni hawa wanatuharibia nchi yetuMkuu unge download document nzima ndio ukaja kuekezea utata wa namba, ila kutumia hii iliyowekwa kama picha unakosea sana, hapo ndipo chadema mnapokwama
Wagombea gani wanadiwe wakati mmewafungia wasifanye kampeni? Kwa nini hizi taarifa za kukanusha ndizo huelezea kile wanachokisema ni ukweli badala ya huo mnaouita ukweli kuusema mapema?Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
HahahHuyu mwanaccm kindakindaki aliyepo tume hana chochote..
Anasema wamenasaWameshaingia kwenye mtego,wasubiri kujibiwa.
Tundu Lissu aliongelea proverb ya kinyaturu sio kama Mgombea wenu huko NyehungeKiruga gani kama anaowahutubia wanakijua?
Mbona tundu ameongea umekaa kimya?
Akiongea kisukuma dar wakat wakazi sio.wasukuma hapo sawa
Mbona hakuna maelezo ya makampuni Na.2 na 3.
Hukuwahi kumsikia Lissu akiongea kikwao hata kidogo kwenye kampeni, nikupandishie ushahidi hapa?Ameshindwa kukemea wanaccm wakati omega Kisukuma kwenye kampeni ni aibu tupu
mbona Lissu juzi Singida alikuwa anahutubia kwa kiligha ausemiAmeshindwa kukemea wanaccm wakati omega Kisukuma kwenye kampeni ni aibu tupu
Huyu Mahera alipaswa aseme haya yote kwa sisi wananchi kupitia Tbc.Anakwama wapi?Wameshaingia kwenye mtego,wasubiri kujibiwa.
wenyewe ni kupotosha tu na uchonganishi kwa wananchiNimeelewa lengo la machadema
Haya Sasa TUME imeshamjibu huyo mpiga kelele za zabuni kumbe nae kashirikishwa katika huo mchakato halafu anataka kuja kucheza na akili za watanzania jambo ambalo kuanzia Jana lilipingwa na wengi kwa hiyo hii hoja ya hovyo imeshajifia kifo cha mende atafute kihoja kingine Cha hovyo aje nacho aone namna gani wenzie wa TUME walivyojipanga kujibu kwa takwimu na vifungu vya sheria lakini pia watanzania tuwaelewe hawa jamaa kuwa wameishiwa sera ndio maana wankuja na vihoja hivi. Mimi nauliza TUME kwani ni lazima mtu kufanya kampeni? Kama ni lazima muwaruhusu hawa wasio na sera za kunadi kwa wananchi wakae kimya Kama sio lazima si warudishe mpira kwa kipa yaishe!Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
kwani Mnyika alisema kupitia wapi?Huyu Mahera alipaswa aseme haya yote kwa sisi wananchi kupitia Tbc.Anakwama wapi?