NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

pamoja yna kuitwa kwa barua kuhudhuria vikao vya kamati majamaa ayaendi ,yanamsubiria reporter wao Kigogo awape tango pori nao wanameza bila hata kuosha mwishowe ni kuvimbiwa tu
 
Chama cha bwana Mbowe ni waongo sana, na wala hawaoni haya kuongopa. (in Polepole' voice)
 
Ndo mana nasema mwaka huu Chadema wana ma strategist ambao wana akili sana.

Sasa NEC wameshajifunga kuhusu nani na nani wanahusila na huu uchaguzi. Watu wako field wanakusanya maushahidi juu ya yanayoendelea kufanyika.

Lazima nyoka atolewe pangoni mwaka huu come sun come rain
 
Chama cha bwana Mbowe ni waongo sana, na wala hawaoni haya kuongopa. (in Polepole' voice)
Huwezi kuelewa mipango ya wenye akili mwaka huu. Tunajua Kuna karatasi za kura za ziada zinachapishwa. Sasa NEC wajiandae tu yajayo yatafurahisha zaidi!!
 
hapo si unaona kabisa karatasi imekata?kampuni namba moja ni hiyo kampuni ya Ren-Form ya Africa Kusini iliyoshinda zabuni hapo utata upo wapi?yaani nyie kilakitu ni kupinga tu
 
Hebu wakati mwingine busara ikutume usiwe na comment vitu kabla ya kujiridhisha. Unaona kabisa hiyo barua alieupload ameikata, So it's obviously namba 1 ilikua hiyo kampuni ya South Africa na hizo za kenya na Dubai ndo zikafuata.
 
Unakili sana mwandishi nataka danganya alafu ajafuzu uongo maana wameandika kampuni ya Dubai na Kenya uku tunaona afrika kusini swali kampuni gani inayosambaza vifaaa watuambie
Muwe mnasoma taarifa vizuri acheni kukurupuka nyie chadema kampuni zote 3 zimeonekana kwenye taarifa tatizo lenu mnatumia matumbo kufikiri
 
Huwezi kuelewa mipango ya wenye akili mwaka huu. Tunajua Kuna karatasi za kura za ziada zinachapishwa. Sasa NEC wajiandae tu yajayo yatafurahisha zaidi!!
yaani nyie aiseee nitatizo,nanyi nendeni JAMANA mkachapishe zenu
 
Ukikwowtwaona chadema wakitokwa mapovu humu unaweza kufikiri wana kitu cha maana kumbe vichwa vyao viko empty kabisa.

Yani siku w wana
 
Hebu wakati mwingine busara ikutume usiwe na comment vitu kabla ya kujiridhisha. Unaona kabisa hiyo barua alieupload ameikata, So it's obviously namba 1 ilikua hiyo kampuni ya South Africa na hizo za kenya na Dubai ndo zikafuata.
tatizo amejaa mahaba sana ,mambo mengine ni kutumia logic tu lakini wao wamekalia ubishi tu
 
Asante kwa ufafanuzi NEC Kuna watu wanaweweseka na tauari wameishajua wanaangukia pua.
 
Bwana Mnyika uje ujibu hizi tuhuma za upotoshaji juu yako , la sivyo utakigharimu chama chako

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Hawa Chadema hovyo...wanapewa chambo wananasa kiulaini..
Walipewa chambo kuwa JPM amekutana na wakurugenzi wa uchaguzi naye Tundu Lissu akanasa...Sasa huyu Mnyika naye amenasa.....tusubiri mnato wa tatu utakaoharibu kabisa image ya Chadema...
 
Hebu wakati mwingine busara ikutume usiwe na comment vitu kabla ya kujiridhisha. Unaona kabisa hiyo barua alieupload ameikata, So it's obviously namba 1 ilikua hiyo kampuni ya South Africa na hizo za kenya na Dubai ndo zikafuata.

Hii post yako ni namba 49, ungetazama nilichosema kwenye post namba 24
 
Haya maccm muongo ,
Mbona haileweki kampuni namba moja ilitoka wap?
Na tenda walitangaza wapi?
wacha kuongea bila ya kuwa na uhakika ndugu ngoja nikusaidie hyo namba moja ni ya Afrika Kusini,kuhusu tenda tembelea tovuti ya ppra kwenye Tender Portal au kwenye Tanzania Procurement Journal.usipende kulishwa matango pori ukafakamia tuu ,utavimbiwa
 
Ubaya mnajiona nyie ndo wenye mipango tuu nchi hii... Ameongea ujinga kajibiwa vyema tuu aje aseme ni uwongo hayo maelezo sio ww unakuja hapa unasifia tuu wanaume wenzako kuongea uninga na kujiona wajanjaa... Yani kwa watu wenye uwono wa mbali mnazidi kujiharibia tuu...
 
Jama
Soma vizuri tena 1,2 na 3 zote zipo
 
Mi nadhani watu wa Manunuzi katika taasisi yeyote ambao wanadili na Serikali wanajua namna ya kuomba tenda na kufatilia Kama wameshinda au laa. Na Kama CDM wangekua na wataalam hao na wakawashirikisha Basi wasingekuja kulalama kuhusu hii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…