Tuna hitaji pia maelezo kuhusu rufaa za Chadema kuhusu ukiukwaji wa sheria za uchaguzi zinazo fanywa na mgombea wa Ccm..Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Wewe mwenyewe Una busara gani wewe.?Hebu wakati mwingine busara ikutume usiwe na comment vitu kabla ya kujiridhisha. Unaona kabisa hiyo barua alieupload ameikata, So it's obviously namba 1 ilikua hiyo kampuni ya South Africa na hizo za kenya na Dubai ndo zikafuata.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukiona coment kama hizi unafikiri alaafu unaishia kucheka tu!Ndo mana nasema mwaka huu Chadema wana ma strategist ambao wana akili sana.
Sasa NEC wameshajifunga kuhusu nani na nani wanahusila na huu uchaguzi. Watu wako field wanakusanya maushahidi juu ya yanayoendelea kufanyika.
Lazima nyoka atolewe pangoni mwaka huu come sun come rain
Kwa akili yako fupi huwezi kuelewa!! Kama Tume ilianza mchakato mwezi wa pili kutangaza tenda Kwa nini ilianza kuwaita wawakilishi wa vyama mwezi wa 6?? Kwa nini unaita watu baada ya kuanza mchakato???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukiona coment kama hizi unafikiri alaafu unaishia kucheka tu!
Yani ukikuta chadema anavyotoa povu kuhusu huu uchaguzi utafikri kichwani ana chochote!
Yani siku hizi kigogo akitoa boko chadema nzima inaitisha vyombo vya habari!
Hakuna umbumbumbu kama huu
Naona majibu yamekutosheleza umekosa cha kusemaHuyu mwanaccm kindakindaki aliyepo tume hana chochote..
Mnyika bwana aje asomeMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mnyika njoo utueleze ulichotaka kutuelezaMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Labda wewe KWA maoni yako ninani leo angekua Mkurugenzi wa Uchaguzi au Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, ungeona Tume ni Huru.Upotishaji wa John Mnyika uko wapi?
Aliita vyombo vya habari kuelezea mapungufu ya NEC katika kufanya majukumu yao mbalimbali na tetesi mbalimbali zinazisambaa kuhusu watu wanaopewa kazi za uchaguzi na NEC
Na mwisho aliitaka NEC wajitokeze kuweka mambo clear juu ya tetesi za tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa NEC kutaka kuhujumu mchakato wa zoezi la uchaguzi kwa nia na lengo la kuisaidia CCM kushinda bila haki.
It's good kuwa NEC kupitia kwa mtendaji mkuu wao huyu wamejitokeza kutolea ufafanuzi baadhi ya tuhuma zilizoelekezwa kwao japo hawajajibu maswali yote yaliyoulizwa na CHADEMA.
Hili siyo tatizo kwa sababu, mwaka huu na uchaguzi huu ni LAZIMA KILA KITU KITAELEWEKA TU hata awe mkali namna gani. Mwaka huu na uchaguzi huu NI HAKI BIN HAKI hakuna ujanja ujanja wa kubebana!
Bahati mbaya tu ni kuwa, Dr Wilson Mahera anaonekana kuwa na napungufu mengi sana ktk utendaji wake kama mtu anayepaswa kuwa huru and unbiased simply because yeye ni kada kindakindaki wa CCM.
Hii hali yake ya "ukada wa CCM" itamponza na kumuweka pabaya sana yeye na familia yake kama hatajirekebisha.
Kiuhalisia, amewekwa hapo na mwenyekiti wa CCM kuangamizwa tu huku yeye kijinga kabisa akidhani ni "ulaji". Huyu alipaswa kuwa jukwaani kule akimnadi mgombea wa CCM kwenye kampeni.
Utendaji mkuu wa Tume ya Uchaguzi ameupata kimakosa!
Chadema ishajifia kitambo toka enzi za katibu mkuu slaa! Hakuna katibu mkuu wa hovyo kupata kutokea kama mnyika! Wanazua uzushi, wakiambia wathibitishe hawawezi wakishitakiwa wanabaki kulialia tu! Chadema hatuwapi kura ng'ooooo tar 28Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]wacha kuongea bila ya kuwa na uhakika ndugu ngoja nikusaidie hyo namba moja ni ya Afrika Kusini,kuhusu tenda tembelea tovuti ya ppra kwenye Tender Portal au kwenye Tanzania Procurement Journal.usipende kulishwa matango pori ukafakamia tuu ,utavimbiwa
Labda wewe kama ni mtu, na,siyo mnyama fulani!Labda wewe KWA maoni yako ninani leo angekua Mkurugenzi wa Uchaguzi au Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, ungeona Tume ni Huru.
Ndo mana nasema mwaka huu Chadema wana ma strategist ambao wana akili sana.
Sasa NEC wameshajifunga kuhusu nani na nani wanahusila na huu uchaguzi. Watu wako field wanakusanya maushahidi juu ya yanayoendelea kufanyika.
Lazima nyoka atolewe pangoni mwaka huu come sun come rain
Siku ya mwisho utapata majibu nani ni kichwa MajiKichwa maji wa chadema huwa mnatumia nini kufikiri? Kwani kuna usiri gani kwenye mshindi wa zabuni? Hahahaha mbona iko wazi na alitangazwa kwenye magazeti sema ninyi wavivu kusoma?
Ili kulimaliza suala hili, Mkurugenzi alitakiwa kuweka wazi kuwa aliyeshinda tenda ndio waliyeingia nae mkataba na ndie anayechapisha hayo makaratasi. Alitakiwa kusema wazi kuwa Jamana hahusiki katika uchapishaji wa hayo makaratasi.
Hoja ya Mnyika, kama nilimuelewa, ilikuwa kuwa aliyeshinda hakupewa tenda na anaezichapisha sasa hivi hakuwepo kwenye kuomba hiyo kazi. Aidha, kwa vile kila mdau ana haki ya kuhoji taratibu zilizotumika, Mkurugenzi angejikita kwenye kujibu hoja tu bila kuingiza mambo mengine ambayo yanamfanya aonekane hampendi mtoa hoja. Hii si vizuri.
Amandla...
Hakuna mtego wowote, mtakula ya chuya. Tanzania ni babalao watu hawalali wanawakodolea macho tu. Hamuwezi kufahamu lakini yote maovu tutayaanika hadharani, hakuna Serikali makini kama hii ''mark my words.''Wameshaingia kwenye mtego,wasubiri kujibiwa.