Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Mkuu ufafanuzi umetolewa kuhusu Tenda na ilivyofanywa na mshindi alikuwa nani kutokana na utaratibu. Then baada ya hapo mwaka huu na hizo tarehe vyama vyote walialikwa kwenye mkutano ambao Chadema hawakutokea. Huo mkutano ni wa kawaida kabla ya uchaguzi na kanuni zilizowekwa sasa hapo bado hujaelewa nini? Labda ufafanue.Nimesikiliza vizuri sana Mkuu. Hizo tarehe nilizozitaja nimezipata baada ya kusikiliza.
Amandla....
Hoja iliyo mezani ..... ..... Mnyika (CDM) kulalamika kwamba kampuni ya Jamana Printers walipewa tenda kinyemela ili CCM waweze kuiba kura na Chadema wanajiandaa kutumia special pens kwa wanachama wao siku ya uchaguzi. hizo ni mbinu za CCM na Tume ili kuwadhulumu kura.
Fundi Mchundo said:
Ili kulimaliza suala hili, Mkurugenzi alitakiwa kuweka wazi kuwa aliyeshinda tenda ndio waliyeingia nae mkataba na ndie anayechapisha hayo makaratasi. Alitakiwa kusema wazi kuwa Jamana hahusiki katika uchapishaji wa hayo makaratasi.